Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Champions League
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

PSG YAICHAPA REAL 1-0, MESSI AKOSA PENALTI.

WENYEJI, Paris Saint-Germain wamepata ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa Parc des Princes Jijini Paris, Ufaransa.

Bao pekee la PSG limefungwa na Kylian Mbappe dakika ya 90 na ushei katika mchezo ambao Muargentina Lionel Messi alikosa penalti baada ya mkwaju wake kuokolewa na kipa Thibaut Courtois.

Penalti hiyo ilitolewa baada ya beki Dani Carvajal kumchezea rafu Mbappe kwenye boksi dakika ya 62.

[QUOTE="Amir, post: 923, member: 20"] [HEADING=2]PSG YAICHAPA REAL 1-0, MESSI AKOSA PENALTI.[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhQnQJciFg5dEs13Ye5BB0EM7FKXVdjjHUpjpEdY1KHp--Br3gWZpExQGK_0dhgAtyIgZAdaZznq0WOToveNb6m7pVgRE93DgbRvmA2vraWvmVnNfrbiTls5g5gvokpc-_wE00it2rvuzGhX6oY6XMnNuCw0Rn7F3TtSJpkWJgN27tdvRGYturmSkmZ=w640-h444[/IMG] WENYEJI, Paris Saint-Germain wamepata ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa Parc des Princes Jijini Paris, Ufaransa. Bao pekee la PSG limefungwa na Kylian Mbappe dakika ya 90 na ushei katika mchezo ambao Muargentina Lionel Messi alikosa penalti baada ya mkwaju wake kuokolewa na kipa Thibaut Courtois. Penalti hiyo ilitolewa baada ya beki Dani Carvajal kumchezea rafu Mbappe kwenye boksi dakika ya 62. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Champions League
Top
Bottom