Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Champions League
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mbappe ashangilia kuwapiga Madrid.

PARIS, UFARANSA. KYLIAN Mbappe ameshangilia kwa nguvu sana baada ya kuipiga bao la dakika za mwisho Real Madrid kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya mtoano wa timu 16 bora kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa juzi Jumanne.

Na staa huyo wa Paris Saint-Germain kisha alikiri kwamba huenda akawagomea Real Madrid kwenda kujiunga nao bure kwenye dirisha lijalo la majira ya kiangazi mwishoni mwa msimu huu.

Mechi hiyo ilionekana kama ingemalizika kwa sare ya 0-0, hadi hapo Mbappe alipofanya maajabu yake kwenye dakika za majeruhi.

Mbappe, 23, amekuwa akihusishwa sana na Real Madrid hasa katika kipindi hiki ambacho mkataba wake huko PSG utafika tamati mwisho wa msimu. Lakini, mchezaji huyo hakuonyesha dalili yoyote ya kushusha kiwango chake wakati alipokumbana na kikosi hicho cha Los Blancos kinachonolewa na Carlo Ancelotti kwenye mchezo wao wa kwanza wa hatua ya mtoano juzi.

Baada ya Lionel Messi kukosa penalti, Mbappe alikuwa mtu wa mwisho kuamua matokeo ya mechi hiyo, akifunga kwenye dakika 93. Na baada ya kufunga, Mbappe hakujivunga kwenye kushangilia, alifanya hivyo kwa nguvu kubwa mbele ya mashabiki huko Parc des Princes.

Mbappe alitumia pia ukurasa wake wa Twitter kuandika baada ya mechi: “Ushindi wa raundi ya kwanza. Hii ni Paris.”

Kisha akaiambia Movistar: “Bado sijaamua hatima yangu. Naichezea PSG, moja ya klabu kubwa duniani. Mechi hii itaamua hatima yangu? Hapana.”

[QUOTE="mhariri, post: 958, member: 122"] [HEADING=1]Mbappe ashangilia kuwapiga Madrid.[/HEADING] [IMG alt="Mbappe PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3719848/landscape_ratio16x9/1160/652/e3d486f69439467bb7efbe15d37cb161/iO/mbappe-pic.jpg[/IMG] [B]PARIS, UFARANSA. [/B]KYLIAN Mbappe ameshangilia kwa nguvu sana baada ya kuipiga bao la dakika za mwisho Real Madrid kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya mtoano wa timu 16 bora kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa juzi Jumanne. Na staa huyo wa Paris Saint-Germain kisha alikiri kwamba huenda akawagomea Real Madrid kwenda kujiunga nao bure kwenye dirisha lijalo la majira ya kiangazi mwishoni mwa msimu huu. Mechi hiyo ilionekana kama ingemalizika kwa sare ya 0-0, hadi hapo Mbappe alipofanya maajabu yake kwenye dakika za majeruhi. Mbappe, 23, amekuwa akihusishwa sana na Real Madrid hasa katika kipindi hiki ambacho mkataba wake huko PSG utafika tamati mwisho wa msimu. Lakini, mchezaji huyo hakuonyesha dalili yoyote ya kushusha kiwango chake wakati alipokumbana na kikosi hicho cha Los Blancos kinachonolewa na Carlo Ancelotti kwenye mchezo wao wa kwanza wa hatua ya mtoano juzi. Baada ya Lionel Messi kukosa penalti, Mbappe alikuwa mtu wa mwisho kuamua matokeo ya mechi hiyo, akifunga kwenye dakika 93. Na baada ya kufunga, Mbappe hakujivunga kwenye kushangilia, alifanya hivyo kwa nguvu kubwa mbele ya mashabiki huko Parc des Princes. Mbappe alitumia pia ukurasa wake wa Twitter kuandika baada ya mechi: “Ushindi wa raundi ya kwanza. Hii ni Paris.” Kisha akaiambia Movistar: “Bado sijaamua hatima yangu. Naichezea PSG, moja ya klabu kubwa duniani. Mechi hii itaamua hatima yangu? Hapana.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Champions League
Top
Bottom