Mechi ya kwanza ya mashindano ya uefa euro leo saa nne usiku, wachezaji wanao wakilisha nchi zao ndo hawa;
Germany: Neuer; Kimmich, Rüdiger, Tah, Mittelstädt; Andrich, Kroos; Musiala, Gündoğan, Wirtz; Havertz
Scotland: Gunn; Ralston, Porteous, Hendry, Tierney, Robertson; McTominay, Gilmour, McGregor, McGinn; Adams
mi naona kama Ujerumani watashinda, hapo kuna harvetz wamoto akikaa na kroos sidhani kina mctominay wanatoboa.
we unambetia nani ashinde leo...