Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Europa League
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

NI RANGERS NA EINTRACHT FRANKFURT FAINALI EUROPA LEAGUE 2022

TIMU ya Rangers ya Scotland imefanikiwa kwenda Fainali ya UEFA Europa Leagu baada ya ushindi wa 3-1 usiku wa Alhamisi Uwanja wa Ibrox Stadium Jijini Glasgow.

Mabao ya Rangers yamefungwa na James Tavernier dakika ya 18, Glen Adjei Kamara dakika ya 24 na John Lundstram dakika ya 81, wakati bao pekee la RB Leipzig limefungwa na Christopher Nkunku dakika ya 70.

Rangers wanakwenda Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-2 kufuatia kufungwa 1-0 kwenye mechi ya kwanza na sasa watamenyana na Eintracht Frankfurt ya Ujerumani katika Fainali itakayopigwa Mei 18 Uwanja wa Ramón Sánchez Pizjuán Jijini Sevilla nchini Hispania.

Eintracht Frankfurt iliichapa West Ham United 1-0 bao pekee la mshambuliaji Mcolombia, Rafael Santos Borré Maury dakika ya 26 Uwanja wa Deutsche Bank Park Jijini Frankfurt am Main na kwenda Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-1 kufuatia kushinda 2-1 kwenye mechi ya kwanza London wiki iliyopita.

[QUOTE="Amir, post: 1451, member: 20"] [HEADING=2]NI RANGERS NA EINTRACHT FRANKFURT FAINALI EUROPA LEAGUE 2022[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhb3SXHkvOzS24fSBnsoTka6pJHeo90l7tkJPMiTr-C0RSy6YG66CCbkCyPrHE_dQxo5FCHOXyfWjKlDg9D-_gO5IHC8WH21f821gmnsKewV90umgpqnrr3vqBAhZ2VOfnXE1txXWQC0aS2sFb7vVPNa2CGCnUwuUpvXKEB0gx0FzXPH-Nf3JPMWCTR/s634/58F68334-FAA5-4505-B6D1-3E1D097D5F48.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhb3SXHkvOzS24fSBnsoTka6pJHeo90l7tkJPMiTr-C0RSy6YG66CCbkCyPrHE_dQxo5FCHOXyfWjKlDg9D-_gO5IHC8WH21f821gmnsKewV90umgpqnrr3vqBAhZ2VOfnXE1txXWQC0aS2sFb7vVPNa2CGCnUwuUpvXKEB0gx0FzXPH-Nf3JPMWCTR/w640-h498/58F68334-FAA5-4505-B6D1-3E1D097D5F48.jpeg[/IMG][/URL] TIMU ya Rangers ya Scotland imefanikiwa kwenda Fainali ya UEFA Europa Leagu baada ya ushindi wa 3-1 usiku wa Alhamisi Uwanja wa Ibrox Stadium Jijini Glasgow. Mabao ya Rangers yamefungwa na James Tavernier dakika ya 18, Glen Adjei Kamara dakika ya 24 na John Lundstram dakika ya 81, wakati bao pekee la RB Leipzig limefungwa na Christopher Nkunku dakika ya 70. Rangers wanakwenda Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-2 kufuatia kufungwa 1-0 kwenye mechi ya kwanza na sasa watamenyana na Eintracht Frankfurt ya Ujerumani katika Fainali itakayopigwa Mei 18 Uwanja wa Ramón Sánchez Pizjuán Jijini Sevilla nchini Hispania. Eintracht Frankfurt iliichapa West Ham United 1-0 bao pekee la mshambuliaji Mcolombia, Rafael Santos Borré Maury dakika ya 26 Uwanja wa Deutsche Bank Park Jijini Frankfurt am Main na kwenda Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-1 kufuatia kushinda 2-1 kwenye mechi ya kwanza London wiki iliyopita. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Europa League
Top
Bottom