UEFA inarejea rasmi leo kwenye siku ya wapendanao

Feb 7, 2023
61
36
5
Michuano pendwa duniani uefa champions league inatarajiwa kuanza kutimua vumbi kwenye hatua ya 16 bora.

Huku macho na masikio ya mashabiki wengi ni kutaka kutazama mchezo kati ya PSG na Bayern Munich, hii ni kutokana na ubora wa vikosi vyote viwili.

Kulikuwa na wasiwasi PSG wanaweza kuwakosa nyota wake Messi na Mbappe, lakini kwenye mazoezi ya mwisho walionekana na hata kwenye orodha ya nyota watakaowavaa Bayern wapo pia.

Mchezo mwingine utakuwa kati ya Ac Milan na Tottenham hotspur, mechi zote zitapigwa majira ya saa tano usiku.20230214_091311.jpg
 
  • Like
Reactions: Zawadi and Azizi