Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ubashiri na Mikeka
UKIBETI MULTIBET UNAPATA BONUS KADRI UNAVYOZIDI KUONGEZA MECHI.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

KAMPUNI ya michezo na burudani Sportpesa inayo furaha kutambulisha kwa Watanzania, huduma yake mpya ya Multibet Bonus kwa wachezaji wake wote nchini.

Bidhaa hii ni ya kwanza na ya kipekee kwa wachezaji wetu kutokana na kiwango cha asilimia ambacho mteja atakuwa anakipata baada ya kuweka ubashiri wake kwa mechi kuanzia 3.

Tumeamua kufungua mwaka kwa kishindo, kwa kuwaongezea wateja wetu kiwango cha asilimia za mapato kwenye odds, kwenye mechi watakazokuwa wanachagua na kuweka kwenye bashiri zao wakati wa kupanga mikeka yao.

‘’Wachezaji wetu watapata bonasi mpaka asilimia themanini na tano (85%)ya kiasi ya kubet kulingana na idadi ya timu watakazochagua katika bashiri zao, Anasema Tarimba Abbas, Mkurugenzi wa Utalawa na Udhibiti Sportpesa.

Wachezaji watakaoruhusiwa kushiriki fursa hii ni wale watakaokuwa wanabashiri na Odds zisizopungua 1.2 na timu za kuchagua zisizopungua tatu’.

‘’Tunajua kuna wachezaji wetu wanaopenda kucheza mechi nyingi, hivyo basi huduma hii imelenga kuwaongezea chachu ya kucheza mechi nyingi zadi kadiri wawezavyo ili wapate zaidi kama asilimia zitakavyojiongeza’’.

Aidha, bidhaa hii ya Multibet Bonus, itakuwa inapatikana kupitia Sportpesa App yetu, inayopatikana kwa watumiaji wa simu janja na pia kupitia website yetu ya www.sportpesa.co.tz, kwa wanaotumia kompyuta mpakato pekee.

Huduma hii ya Multibet Bonus, ni moja ya bidhaa bunifu, kutoka kwetu ambayo itakuwa inapatikana kwenye mechi za kila siku.

‘’Haya ni maboresho ambayo kampuni imeamua kuyaongeza katika kukupa wewe mteja ama mchezaji fursa ya kupata zaidi katika kila ubashiri utakaokuwa unaouweka’’.

Sambamba na bidhaa hii, Sportpesa inajitahidi kuboresha huduma zake zote ili ziweze kukidhi malengo na matakwa ya wachezaji wake, pamoja na soko kwa ujumla, kwa kiwango cha juu kabisa.

Kwa msaada zaidi wasiliana na watoa huduma kwa wateja wetu.

[QUOTE="mhariri, post: 739, member: 122"] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjLWI638IuwQgdyop3zGImLocA-_ZPT0y829P-gOXSIkOfYXuE80fFe18hTTUDUzJYOZO14a3T4JAXtCt9UnxaSNZV6B6OWY8UyR8slvzTKCCh16zUR6haD_Cgq5B6SJqUFC0IVpwubD94U-nuz9kLLsi7py1OWp5V2AlR2JKxffifMKBDukvwXAjla=w640-h320[/IMG] KAMPUNI ya michezo na burudani Sportpesa inayo furaha kutambulisha kwa Watanzania, huduma yake mpya ya [URL='https://sportpesa.co.tz/sports?sportId=1§ion=highlights']Multibet Bonus[/URL] kwa wachezaji wake wote nchini. Bidhaa hii ni ya kwanza na ya kipekee kwa wachezaji wetu kutokana na kiwango cha asilimia ambacho mteja atakuwa anakipata baada ya kuweka ubashiri wake kwa mechi kuanzia 3. Tumeamua kufungua mwaka kwa kishindo, kwa kuwaongezea wateja wetu kiwango cha asilimia za mapato kwenye odds, kwenye mechi watakazokuwa wanachagua na kuweka kwenye bashiri zao wakati wa kupanga mikeka yao. ‘’Wachezaji wetu watapata bonasi mpaka asilimia themanini na tano (85%)ya kiasi ya kubet kulingana na idadi ya timu watakazochagua katika bashiri zao, Anasema Tarimba Abbas, Mkurugenzi wa Utalawa na Udhibiti Sportpesa. Wachezaji watakaoruhusiwa kushiriki fursa hii ni wale watakaokuwa wanabashiri na Odds zisizopungua 1.2 na timu za kuchagua zisizopungua tatu’. ‘’Tunajua kuna wachezaji wetu wanaopenda kucheza mechi nyingi, hivyo basi huduma hii imelenga kuwaongezea chachu ya kucheza mechi nyingi zadi kadiri wawezavyo ili wapate zaidi kama asilimia zitakavyojiongeza’’. Aidha, bidhaa hii ya Multibet Bonus, itakuwa inapatikana kupitia Sportpesa App yetu, inayopatikana kwa watumiaji wa simu janja na pia kupitia website yetu ya [URL="http://www.sportpesa.co.tz"]www.sportpesa.co.tz[/URL], kwa wanaotumia kompyuta mpakato pekee. Huduma hii ya Multibet Bonus, ni moja ya bidhaa bunifu, kutoka kwetu ambayo itakuwa inapatikana kwenye mechi za kila siku. ‘’Haya ni maboresho ambayo kampuni imeamua kuyaongeza katika kukupa wewe mteja ama mchezaji fursa ya kupata zaidi katika kila ubashiri utakaokuwa unaouweka’’. Sambamba na bidhaa hii, [URL='https://blog.sportpesa.co.tz/']Sportpesa[/URL] inajitahidi kuboresha huduma zake zote ili ziweze kukidhi malengo na matakwa ya wachezaji wake, pamoja na soko kwa ujumla, kwa kiwango cha juu kabisa. Kwa msaada zaidi wasiliana na watoa huduma kwa wateja wetu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ubashiri na Mikeka
UKIBETI MULTIBET UNAPATA BONUS KADRI UNAVYOZIDI KUONGEZA MECHI.
Top
Bottom