Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UKRAINE NA URUSI
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kocha Mkuu wa klabu ya Sheriff Tiraspol ya Moldova  Yuriy Vernydub (56) raia wa Ukraine  amerejea kwao kwaajili ya kuipambania nchi yake inayoshambuliwa na Urusi.

Yuriy ambaye aliwahi kupita jeshini kwa kipindi cha miaka miwili wakati akiwa kijana, amesema aliposikia kuwa Russia wamewavamia akaiambia familia yake pamoja na wajukuu zake kuwa yupo tayari kurejea na kupambania nchi yake.

" Mke wangu, Watoto wangu pamoja na wajukuu wamenishauri mara nyingi sana nisifanye hivyo lakini nimewaambia siwezi lazima niipambanie nchi, wananijua vizuri, nikiamua jambo huwa sibadiliki"

"Nimewaambia kama wao watahama nchi sawa ila mimi na mke wangu tutabaki hapa kwaajili ya nchi yetu"

"Sitaki kusema nilikuwa nafasi gani jeshini lakini wajue kuwa najua namna ya kutumia silaha na mbinu zote za kivita, nipo hapa nitapambania Taifa langu kwa nguvu zote"

"Najua Vijana wengi wamekimbia nchi, nawashauri warudi tuungane kwa pamoja tupambanie nchi yetu, hakuna msaada mwingine bila sisi wenyewe kujipambania" alisema Yuriy

Ikumbukwe kocha huyo ametengeneza historia kubwa kwa kuiiongoza Sheriff Tiraspol kushinda mabao 2-1 katika mchezo Ligi ya Mabingwa dhidi ya wababe wa michuano hiyo Real Madrid katika hatua ya makundi.

Sasa ni mwanajeshi anayepigana dhidi ya uvamizi wa Warusi katika nchi yake

[QUOTE="Amir, post: 1161, member: 20"] Kocha Mkuu wa klabu ya Sheriff Tiraspol ya Moldova [IMG alt="π²π©"]https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/t6/1/16/1f1f2_1f1e9.png[/IMG] Yuriy Vernydub (56) raia wa Ukraine [IMG alt="πΊπ¦"]https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/tf2/1/16/1f1fa_1f1e6.png[/IMG] amerejea kwao kwaajili ya kuipambania nchi yake inayoshambuliwa na Urusi. Yuriy ambaye aliwahi kupita jeshini kwa kipindi cha miaka miwili wakati akiwa kijana, amesema aliposikia kuwa Russia wamewavamia akaiambia familia yake pamoja na wajukuu zake kuwa yupo tayari kurejea na kupambania nchi yake. " Mke wangu, Watoto wangu pamoja na wajukuu wamenishauri mara nyingi sana nisifanye hivyo lakini nimewaambia siwezi lazima niipambanie nchi, wananijua vizuri, nikiamua jambo huwa sibadiliki" "Nimewaambia kama wao watahama nchi sawa ila mimi na mke wangu tutabaki hapa kwaajili ya nchi yetu" "Sitaki kusema nilikuwa nafasi gani jeshini lakini wajue kuwa najua namna ya kutumia silaha na mbinu zote za kivita, nipo hapa nitapambania Taifa langu kwa nguvu zote" "Najua Vijana wengi wamekimbia nchi, nawashauri warudi tuungane kwa pamoja tupambanie nchi yetu, hakuna msaada mwingine bila sisi wenyewe kujipambania" alisema Yuriy Ikumbukwe kocha huyo ametengeneza historia kubwa kwa kuiiongoza Sheriff Tiraspol kushinda mabao 2-1 katika mchezo Ligi ya Mabingwa dhidi ya wababe wa michuano hiyo Real Madrid katika hatua ya makundi. Sasa ni mwanajeshi anayepigana dhidi ya uvamizi wa Warusi katika nchi yake [IMG alt="πΊπ¦"]https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/tf2/1/16/1f1fa_1f1e6.png[/IMG] [IMG]https://scontent.fnbo1-1.fna.fbcdn.net/v/t39.30808-6/275063466_5156652904394618_5421269152678999608_n.jpg?stp=dst-jpg_s600x600&_nc_cat=104&ccb=1-5&_nc_sid=a26aad&_nc_ohc=5l3c33aZsYoAX_I4Z2a&_nc_ht=scontent.fnbo1-1.fna&oh=00_AT8gzy_-iocY6YH6v6BjCL2BBgD8Ohd_fD_um9I45CNmJw&oe=622732FC[/IMG][IMG]https://scontent.fnbo1-1.fna.fbcdn.net/v/t39.30808-6/275066351_5156652907727951_7724766884009241461_n.jpg?stp=dst-jpg_s600x600&_nc_cat=106&ccb=1-5&_nc_sid=a26aad&_nc_ohc=DcQRhNSFESoAX8tTRIB&_nc_ht=scontent.fnbo1-1.fna&oh=00_AT9tjUNUjPmN9tEM80YJBSZE5ck5OhdnoWNlakhGhCcRWg&oe=6227D8AA[/IMG] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UKRAINE NA URUSI
Top
Bottom