Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Umekionaje Kikosi Hiki? Unaiona Tanzania Ikifuzu AFCON 2025 Nchini Morocco?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mie naona wanaoita timu za Taifa ifike hatua wajitafakari kwanza

Kuna wachezaji wanaitwa kwa msimu

Nachukulia mfano Nchi za wenzetu kikosi kinachoitwa karb kila wakat ni kile kile kama ni mabadiliko basi huwa machache ila kwetu kila wakiita unakuta kuna mabadiliko karbu 80% mpaka 90%

Hamza majeruhi hata kikosin kwake hachezi

Manula ndo kabisa ni kama hana timu japo anajulikana ni mchezaji wa Simba

Foba ni kipa namba mbili na hapewi nafasi

Unaita vijana wa U20 kwenye shughuli ya wanaume kweli

Kuna mengine wasitumie majina ya watu ila ubora na kiwango chap jamani

Ndo maana Tanzania kutoboa timu ya taifa huwa tizi kinoma sababu ya ngenga za Kiwanki tu.

[QUOTE="Benny Eli, post: 12112, member: 2622"] Mie naona wanaoita timu za Taifa ifike hatua wajitafakari kwanza Kuna wachezaji wanaitwa kwa msimu Nachukulia mfano Nchi za wenzetu kikosi kinachoitwa karb kila wakat ni kile kile kama ni mabadiliko basi huwa machache ila kwetu kila wakiita unakuta kuna mabadiliko karbu 80% mpaka 90% Hamza majeruhi hata kikosin kwake hachezi Manula ndo kabisa ni kama hana timu japo anajulikana ni mchezaji wa Simba Foba ni kipa namba mbili na hapewi nafasi Unaita vijana wa U20 kwenye shughuli ya wanaume kweli Kuna mengine wasitumie majina ya watu ila ubora na kiwango chap jamani Ndo maana Tanzania kutoboa timu ya taifa huwa tizi kinoma sababu ya ngenga za Kiwanki tu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Umekionaje Kikosi Hiki? Unaiona Tanzania Ikifuzu AFCON 2025 Nchini Morocco?
Top
Bottom