Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Umeuonaje Mchezo? Azam 0️⃣ Simba Sc 3️⃣
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamepoteza pointi tatu mbele ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda katika mchezo wa mzunguko wa pili uliokuwa na ushindani mkubwa.

Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Azam FC 0-3 Simba.

Ni Sadio Kanoute alipachika bao la ufunguzi dakika ya 63 kamba ya pili ni Fabrice Ngoma dakika ya 77 na ile ya tatu ni Duchu dakika ya 89.

Azam FC walikuwa na nafasi yakufunga kipindi cha kwanza walikosa penalti kupitia kwa Feisal Salum aliyegongesha mwamba kipindi cha kwanza.

Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza ubao ulisoma Simba 1-1 Azam FC.

[QUOTE="Kijiweni, post: 3903, member: 476"] [HEADING=2][I][B]MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamepoteza pointi tatu mbele ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda katika mchezo wa mzunguko wa pili uliokuwa na ushindani mkubwa.[/B][/I][/HEADING] [HEADING=2][I][B]Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Azam FC 0-3 Simba.[/B][/I][/HEADING] [HEADING=2][I][B]Ni Sadio Kanoute alipachika bao la ufunguzi dakika ya 63 kamba ya pili ni Fabrice Ngoma dakika ya 77 na ile ya tatu ni Duchu dakika ya 89.[/B][/I][/HEADING] [HEADING=2][I][B]Azam FC walikuwa na nafasi yakufunga kipindi cha kwanza walikosa penalti kupitia kwa Feisal Salum aliyegongesha mwamba kipindi cha kwanza.[/B][/I][/HEADING] [HEADING=2][I][B]Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza ubao ulisoma Simba 1-1 Azam FC.[/B][/I][/HEADING] [B][I][/I][/B] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Umeuonaje Mchezo? Azam 0️⃣ Simba Sc 3️⃣
Top
Bottom