Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Umeuonaje Mchezo? Azam 0️⃣ Simba Sc 3️⃣
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kuna mambo makuu mawili.

1. Wachezaji wanajiamini sana chini ya kocha Mgunda, na wana imani naye na hili utaona jinsi wanavyojituma kuhakikisha hawamuangushi kocha aliyewapa imani. Ni wakati sahihi wakuamini wazawa na kumuachia timu Mgunda, aongezewe tuu technical benchi nzuri ikiwemo ya analysis coach wakuzijua vizuri mechi za Simba ndani na nje ya nchi.

2. Inaonekana pamoja na kumuamini Mgunda wachezaji wamepata psychology advise nzuri. Ni vyema sana viongozi ku invest kwenye psychology ya wachezaji na kumtafuta mtu sahihi kwenye hii sehemu, leo utaona kila mchezaji alikuwa mchezoni achilia makosa madogo madogo tuliyoyaona kwa forward wings lakini wengine wote walikuwa mchezoni kwa dakika zote tisini na za mwamuzi. Ni vizuri kuendelea kuweka hii temper kwa timu yetu kuhakikisha wachezaji mentally wanakuwa uwanjani na sii kwa mashabiki au viongozi etc.

Asante!

[QUOTE="BenBro🇹🇿, post: 3927, member: 1790"] Kuna mambo makuu mawili. 1. Wachezaji wanajiamini sana chini ya kocha Mgunda, na wana imani naye na hili utaona jinsi wanavyojituma kuhakikisha hawamuangushi kocha aliyewapa imani. Ni wakati sahihi wakuamini wazawa na kumuachia timu Mgunda, aongezewe tuu technical benchi nzuri ikiwemo ya analysis coach wakuzijua vizuri mechi za Simba ndani na nje ya nchi. 2. Inaonekana pamoja na kumuamini Mgunda wachezaji wamepata psychology advise nzuri. Ni vyema sana viongozi ku invest kwenye psychology ya wachezaji na kumtafuta mtu sahihi kwenye hii sehemu, leo utaona kila mchezaji alikuwa mchezoni achilia makosa madogo madogo tuliyoyaona kwa forward wings lakini wengine wote walikuwa mchezoni kwa dakika zote tisini na za mwamuzi. Ni vizuri kuendelea kuweka hii temper kwa timu yetu kuhakikisha wachezaji mentally wanakuwa uwanjani na sii kwa mashabiki au viongozi etc. Asante! [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Umeuonaje Mchezo? Azam 0️⃣ Simba Sc 3️⃣
Top
Bottom