Tumepigwa hapoKlabu ya soka ya Yanga imekamilisha usajili wa mchezaji Israel Patrick Mwenda kwa mkopo wa mwaka mzima kutoka Singida Black Stars
Umeuonaje Usajili Wa Kwanza Wa Wananchi Dirisha Dogo kwa kumchukua ISRAEL MWENDA?
View attachment 1645
Klabu ya soka ya Yanga imekamilisha usajili wa mchezaji Israel Patrick Mwenda kwa mkopo wa mwaka mzima kutoka Singida Black Stars
Umeuonaje Usajili Wa Kwanza Wa Wananchi Dirisha Dogo kwa kumchukua ISRAEL MWENDA?
View attachment 1645 Yaan jangwani kikubwa uzima
Yani sahihi kabisa hapo ndipo unapoanza kuona viongoz wanafeli kwa kiasi gani mwenda hata hapo singida kwenyew bench ndio sehemu yake sahihiSio chaguo sahihi wakati huu ukiangalia huyu hana tofauti na kina kibabage ambao wako pale viongozi inapaswa watuletee watu sahihi wenye uwezo wa juu ila kwa haya yanayoendelea katika usajili naona mates pia yakiendelea kwetu sisi mashabiki