Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Unakubaliana Na Kauli Hii Ya Kocha Mkuu Wa TAIFA STARS Kuhusu Makundi Ya AFCON 2025? Ukipata Nafasi Ya Kumshauri Ungemwambia Kipi?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kaimu kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Hemed Seleman 'Morocco' ametoa mtazamo wake na namna watakavyokiandaa kikosi kwenda kushindana na sio kushiriki pekee katika michuano itakayoanza Desemba 21, 2025 hadi Januari 18, 2026 nchini Morocco, Taifa Stars imepangwa kundi C na timu za Nigeria, Tunisia na Uganda.

"Kwangu mimi sijaona kundi rahisi likiwemo hili letu, yote ni magumu, Tanzania sio wanyonge, nipo hapa Morocco na makocha mbalimbali ukijitambulisha unatoka Tanzania wanaheshimu sana na hata baada ya droo unaona washindani wetu wanatafakari kwa kina," amesema Morocco na kuongeza.

"Tanzania imeshatoka kwenye enzi za unyonge, tunatakiwa tujiamini kama Taifa kwamba tunaweza kufanya kikubwa, miaka ya nyuma tulikuwa tunakuja kama wasindikizaji, fainali zilizopita tukafanikiwa kupata pointi kwenye makundi, safari hii tunataka kuja kushindana kutafuta nafasi mbili za juu kwenda mbali."

Stars inakwenda kushiriki Afcon 2025 kwa mara ya nne baada ya kufanya hivyo mwaka 1980 (Nigeria), 2019 (Misri) na 2023 (Ivory Coast).

Katika Afcon ya 2019, ndiyo pekee ambayo Stars iliondoka bila ya pointi lakini 1980 ilipata pointi moja na 2023 pointi 2 ingawa mara zote imeishia hatua ya makundi.

[QUOTE="Kijiweni, post: 14341, member: 476"] Kaimu kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Hemed Seleman 'Morocco' ametoa mtazamo wake na namna watakavyokiandaa kikosi kwenda kushindana na sio kushiriki pekee katika michuano itakayoanza Desemba 21, 2025 hadi Januari 18, 2026 nchini Morocco, Taifa Stars imepangwa kundi C na timu za Nigeria, Tunisia na Uganda. [I][B]"Kwangu mimi sijaona kundi rahisi likiwemo hili letu, yote ni magumu, Tanzania sio wanyonge, nipo hapa Morocco na makocha mbalimbali ukijitambulisha unatoka Tanzania wanaheshimu sana na hata baada ya droo unaona washindani wetu wanatafakari kwa kina,"[/B][/I] amesema Morocco na kuongeza. [B][I]"Tanzania imeshatoka kwenye enzi za unyonge, tunatakiwa tujiamini kama Taifa kwamba tunaweza kufanya kikubwa, miaka ya nyuma tulikuwa tunakuja kama wasindikizaji, fainali zilizopita tukafanikiwa kupata pointi kwenye makundi, safari hii tunataka kuja kushindana kutafuta nafasi mbili za juu kwenda mbali." [/I][/B] Stars inakwenda kushiriki Afcon 2025 kwa mara ya nne baada ya kufanya hivyo mwaka 1980 (Nigeria), 2019 (Misri) na 2023 (Ivory Coast). Katika Afcon ya 2019, ndiyo pekee ambayo Stars iliondoka bila ya pointi lakini 1980 ilipata pointi moja na 2023 pointi 2 ingawa mara zote imeishia hatua ya makundi. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Unakubaliana Na Kauli Hii Ya Kocha Mkuu Wa TAIFA STARS Kuhusu Makundi Ya AFCON 2025? Ukipata Nafasi Ya Kumshauri Ungemwambia Kipi?
Top
Bottom