Unamjua Mtanzania Wa Kwanza Kukutana Na Pele..?

ChichaMandi

Mgeni
Dec 15, 2022
65
71
5
Brazil ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท x Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Mtanzania Prof Mark Mwandosya Anabakia kuwa Miongoni Mwa Watanzania Wachache waliowahi Kukutana na kupiga picha na Gwiji Wa Soka Duniani,Edson Arantes Do Nascimento โ€œPele" Ambapo walikutana Uwanja Wa Ndege huko Dubai mwaka 2015.

Kwenye picha Kutoka Kushoto kwako ni mke wa Prof Mwandosya aitwaye Lucy Mwandosya na Katikati Ndiye Pele na Kulia kwako Ndiye Mark J Mwandosya.

What A Beautiful Photo โค๏ธ ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ทx๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 

Attachments

  • FB_IMG_1672395335884.jpg
    FB_IMG_1672395335884.jpg
    49.6 KB · Somwa: 0