Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Unatamani Simba Apangwe Na Nani Leo Robo Fainali Kombe La Shirikisho Afrika?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) litafanya droo rasmi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa ya CAF TotalEnergies 2024/25 na Kombe la Shirikisho la CAF TotalEnergies jijini Doha, Qatar leo Alhamisi tarehe 20 Februari.

Droo hiyo itafanyika katika studio za kisasa za beIN SPORTS na itaonyeshwa moja kwa moja kupitia chaneli rasmi ya YouTube ya CAF, CAF TV. Wachezaji wanne wa zamani wa Afrika watashiriki kama wasaidizi wa droo: Wael Gomaa (Misri), Rabah Madjer (Algeria), Rainford Kalaba (Zambia) na Ben Malango (DR Congo).

Kwa Tanzania inawakilishwa na Simba SC katika kombe la Shirikisho Afrika ambapo anaweza kukutana na Timu kati ya AL MASRY ya MISRI , ASEC MIMOSAS ya Ivory Coast au Stellenbosch ya Afrika Kusini.

Unatamani Simba apangwe na Nani Leo?

[QUOTE="Kijiweni, post: 15338, member: 476"] Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) litafanya droo rasmi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa ya CAF TotalEnergies 2024/25 na Kombe la Shirikisho la CAF TotalEnergies jijini Doha, Qatar leo Alhamisi tarehe 20 Februari. Droo hiyo itafanyika katika studio za kisasa za beIN SPORTS na itaonyeshwa moja kwa moja kupitia chaneli rasmi ya YouTube ya CAF, CAF TV. Wachezaji wanne wa zamani wa Afrika watashiriki kama wasaidizi wa droo: Wael Gomaa (Misri), Rabah Madjer (Algeria), Rainford Kalaba (Zambia) na Ben Malango (DR Congo). Kwa Tanzania inawakilishwa na Simba SC katika kombe la Shirikisho Afrika ambapo anaweza kukutana na Timu kati ya AL MASRY ya MISRI , ASEC MIMOSAS ya Ivory Coast au Stellenbosch ya Afrika Kusini. Unatamani Simba apangwe na Nani Leo? [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Unatamani Simba Apangwe Na Nani Leo Robo Fainali Kombe La Shirikisho Afrika?
Top
Bottom