Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Upi mtazamo wako katika vita ya Simba, GSM na TFF?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

ISHU ya mkataba wa GSM na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imebadilika baada ya jana Simba kugomea mkutano wa maandalizi sababu kubwa ikitajwa ni kuwemo na mabango ya mdhamini mwenza huyo wa Ligi Kuu Bara.

Mkutano huo ulifanyika kwenye Ukumbi wa TFF uliopo Karume huku wawakilishi wa Simba nao walifika wakiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha Habari, Ally Shatry ambaye alisikika akitamka kuwa “Toeni bango kwanza”. Badae Simba waliondoka zao. Kauli hiyo ya ilikuja baada ya Ofisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo kuwataka Simba waingie ndani kwani muda wa mkutano ulikuwa umefika na tayari kocha wa Yanga, Nassredine Nabi ndiye aliyeanza kuzungumza na kumaliza.

Baada ya Simba kugoma kuingia Ndimbo aliwaruhusu wadhamini wakuu wa Ligi, NBC kuingia. Simba walishaandika kuomba ufafanuzi juu ya udhamini wa TFF na GSM. Ofisa Habari, Karim Boimanda alisema; “Huo mkataba baada ya kuuona ulichukuliwa vipande vinavyotuhusu sisi kama bodi na kuzipatia klabu, hivyo kinachoendelea kitamalizwa na kanuni,”. Simba wanasisitiza kwamba wanataka kujua undani wa mkataba huo na kila kitu kilichopo kinawanufaishaje wao.

Je mtazamo wako katika vita hii ni upi?

[QUOTE="Mkwavinyika, post: 72, member: 7"] ISHU ya mkataba wa GSM na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imebadilika baada ya jana Simba kugomea mkutano wa maandalizi sababu kubwa ikitajwa ni kuwemo na mabango ya mdhamini mwenza huyo wa Ligi Kuu Bara. Mkutano huo ulifanyika kwenye Ukumbi wa TFF uliopo Karume huku wawakilishi wa Simba nao walifika wakiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha Habari, Ally Shatry ambaye alisikika akitamka kuwa “Toeni bango kwanza”. Badae Simba waliondoka zao. Kauli hiyo ya ilikuja baada ya Ofisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo kuwataka Simba waingie ndani kwani muda wa mkutano ulikuwa umefika na tayari kocha wa Yanga, Nassredine Nabi ndiye aliyeanza kuzungumza na kumaliza. Baada ya Simba kugoma kuingia Ndimbo aliwaruhusu wadhamini wakuu wa Ligi, NBC kuingia. Simba walishaandika kuomba ufafanuzi juu ya udhamini wa TFF na GSM. Ofisa Habari, Karim Boimanda alisema; “Huo mkataba baada ya kuuona ulichukuliwa vipande vinavyotuhusu sisi kama bodi na kuzipatia klabu, hivyo kinachoendelea kitamalizwa na kanuni,”. Simba wanasisitiza kwamba wanataka kujua undani wa mkataba huo na kila kitu kilichopo kinawanufaishaje wao. Je mtazamo wako katika vita hii ni upi? [IMG]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3646126/landscape_ratio16x9/1160/652/b27076418c767cd40859d27a1f068604/Ke/simba-tff-pic.jpg[/IMG] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Upi mtazamo wako katika vita ya Simba, GSM na TFF?
Top
Bottom