Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Usajili Simba Wanaanza Na Huyu Hapa
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SIMBA SC wana jambo lao msimu huu, maafisa wa timu hiyo inaelezwa wametia timu Zambia kufuatilia saini ya winga wa Power Dynamos ambaye amekuwa na msimu mzuri katika ligi hiyo.

Ikumbukwe kuwa msimu ulioisha Simba ilikukutana na Power Dyanamos, katika mchezo wa hatua ya pili wa kufuzu makundi ya Ligi ya Mabingwa na Kinda huyo aliwappa wakati mgumu sana Mohammed Hussein na Shomary Kapombe.

Inaelezwa kwamba muda wowote kuanzia sasa klabu ya Simba itakamilisha usajili wa winga wa Power Dynamos,raia wa Zambia Joshua Mutale (22)

Viongozi wa Simba wako Zambia kukamilisha dili hili, na hii ni kamati mpya ya usajili ya timu hiyo ikiwa tayari ipo kazini.

Msimu uliopita Joshua Mutale alifunga goli 8 kwenye ligi ya Zambia, anapenda kuvaa jezi namba 7 ambayo jezi hiyo huvaliwa na Willy Essomba Onana ambaye, msimu uliopita hakuwa na makali sana.

[QUOTE="Kijiweni, post: 5314, member: 476"] SIMBA SC wana jambo lao msimu huu, maafisa wa timu hiyo inaelezwa wametia timu Zambia kufuatilia saini ya winga wa Power Dynamos ambaye amekuwa na msimu mzuri katika ligi hiyo. Ikumbukwe kuwa msimu ulioisha Simba ilikukutana na Power Dyanamos, katika mchezo wa hatua ya pili wa kufuzu makundi ya Ligi ya Mabingwa na Kinda huyo aliwappa wakati mgumu sana Mohammed Hussein na Shomary Kapombe. Inaelezwa kwamba muda wowote kuanzia sasa klabu ya Simba itakamilisha usajili wa winga wa Power Dynamos,raia wa Zambia Joshua Mutale (22) Viongozi wa Simba wako Zambia kukamilisha dili hili, na hii ni kamati mpya ya usajili ya timu hiyo ikiwa tayari ipo kazini. Msimu uliopita Joshua Mutale alifunga goli 8 kwenye ligi ya Zambia, anapenda kuvaa jezi namba 7 ambayo jezi hiyo huvaliwa na Willy Essomba Onana ambaye, msimu uliopita hakuwa na makali sana. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Usajili Simba Wanaanza Na Huyu Hapa
Top
Bottom