Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Usajili Wa Chama Kwenda Yanga -Yanga Hamueleweki, Sijui Mna Shida Gani!
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Salaam Wakuu..

Nashangazwa na hizi kelele za midundiko na kukata viuno tunazopigiwa na wajuaji wa mitaa ya Twiga na Jangwani pale Kariakoo.

Hawa wanashangilia leo kumsajili Chama, yule yule ambaye miaka yote walikuwa wakituaminisha ni mchezaji wa mechi ndogo.

Ina maana huyu Chawa amegeuka ghafla kuwa mchezaji wa mechi kubwa baada ya kuhamia kwao?

Huyu Chama waliyekuwa wakituambia kila siku hana nguvu, leo amezipata hizo nguvu baada ya kuhamia Jangwani?

Nawashauri mtulie, mjitafakari vizuri mkijiuliza mko sawa kichwani?

Tukutane uwanjani na huyo Chama wenu mpya ili tuone kama atakuwa na nguvu za ghafla, na atgeuka kuwa mchezaji wa mechi kubwa ghafla.

[QUOTE="Mshua, post: 6189, member: 2315"] Salaam Wakuu.. Nashangazwa na hizi kelele za midundiko na kukata viuno tunazopigiwa na wajuaji wa mitaa ya Twiga na Jangwani pale Kariakoo. Hawa wanashangilia leo kumsajili Chama, yule yule ambaye miaka yote walikuwa wakituaminisha ni mchezaji wa mechi ndogo. Ina maana huyu Chawa amegeuka ghafla kuwa mchezaji wa mechi kubwa baada ya kuhamia kwao? Huyu Chama waliyekuwa wakituambia kila siku hana nguvu, leo amezipata hizo nguvu baada ya kuhamia Jangwani? Nawashauri mtulie, mjitafakari vizuri mkijiuliza mko sawa kichwani? Tukutane uwanjani na huyo Chama wenu mpya ili tuone kama atakuwa na nguvu za ghafla, na atgeuka kuwa mchezaji wa mechi kubwa ghafla. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Usajili Wa Chama Kwenda Yanga -Yanga Hamueleweki, Sijui Mna Shida Gani!
Top
Bottom