Usajili wa chelsea umelenga msimu ujao

Zawadi

Mgeni
Nov 4, 2022
41
17
5
Chelsea kafanya usajiri mkubwa na mzuri Sana nadhani anayejua mpira anajua kabisa kuwa Chelsea target Yao sio msimu huu bali wamesajiri wachezaji ili waje kusuka kikosi imara msimu ujao

Tukumbuke Chelsea ni team inawaza faida haraka kuliko team yoyote EPL so wanamawazo ya kikosi kipana kwa msimu ujao UEFA na Ligi mbali mbali na itakuwa team tishio endapo wachezaji wata ingia kwenye mfumo anaoutaka Mwalimu sababu wamesajiri wachezaji wazuri na wakubwa.
 

Attachments

  • ACD34E6D-035B-4DF8-91CF-58708DCF749F.jpeg
    ACD34E6D-035B-4DF8-91CF-58708DCF749F.jpeg
    576.5 KB · Somwa: 0