Usajili wa dirisha dogo umefungwa kuna mtu hajaridhika na timu yake?

sharon

Mgeni
Nov 4, 2022
105
89
5
Mudryk, Felix na Enzo kwenda Chelsea,

Cancelo kwenda Bayern,

Jorginho kwenda Arsenal

Weghorst, Sabitzer na Butland kwenda
Man United

Gakpo kwenda Liverpool.

Uhamisho mkubwa katika dirisha la Januari.


Lakini chelsea ndio washindi wa yote. Unaweza kulinganisha usajili wa wengine ila chelsea ndo wameamua kusajili mpaka bench na kila kitu imaana hata Dirisha kubwa tusipowaona sokoni hatushangai wamemaliza kila kitu🙌😅

B5799FD3-7FCA-429C-9A67-CE02AD688DDB.jpeg