Mudryk, Felix na Enzo kwenda Chelsea,
Cancelo kwenda Bayern,
Jorginho kwenda Arsenal
Weghorst, Sabitzer na Butland kwenda
Man United
Gakpo kwenda Liverpool.
Uhamisho mkubwa katika dirisha la Januari.
Lakini chelsea ndio washindi wa yote. Unaweza kulinganisha usajili wa wengine ila chelsea ndo wameamua kusajili mpaka bench na kila kitu imaana hata Dirisha kubwa tusipowaona sokoni hatushangai wamemaliza kila kitu