Yanga imemsajili Mshambiliaji kutoka zambia Kennedy Musonda. Yanga walihitaji mshambiliaji wakuongeza nguvu pale mbele, amecheza mashindano ya kimataifa ni usajili sahihi wanahitaji kuwa serious hasa kwenye mashindano makubwa, Musonda ataleta mtazamo chanya kwenye timu kama akionesha ule uwezo alio nao, ukizingatia Musonda alikua ni Top Scorer wa ligi ya Zambia akiwa na amecheza mechi 17 na kufunga mabao 11
Beki Mamadou Doumbia? Naaam baki wa kati alikua muhimu sana kwa Yanga hasa ukizingatia kiwango cha Mwanyeto kimeshuka, Mamadou ataenda kuongeza nguvu kwa mabeki wa Yanga kuzidi kuimarisha ulinzi kwenye kikosi ni usajili sahihi sana na wamepata mtu sahihi Mamadou Yanga wamemnunua wakati akiwa tegemeo kwenye timu yake ya Stade Malien pia ni Nahodha wa Mali, ni mchezaji anayeshiriki mashindano ya taifa ana expirience na uwezo mkubwa kuweza kuwasaidiayanga kwenye eneo lao la ulinzi.
Shida ya Simba na Yanga hazikutofautiana Sana shida kubwa zilikuwa viungo na beki
Simba walikuwa tunahitaji Sana kiungo mkabaji wa chini Yani boks to boks zaidi ya Mzamiru sijajua Kama "Sawadogo" anakabia chini Sana kama wanavyo hitaji ila wanae kocha mpya ni kazi yake kulifanyia kazi hilo kwa mchezaji huyo
Pia wamemsajili namba tisa "Jean Baleke" Upande wa no 9 Simba walihihitaji Sana kuwa na wafungaji wawili au watatu ambao wako kwenye form Huyu Mkongo Kama mpira haujamkataa anawafaa Sana Mana analijua goli

Last edited: