Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Usajili
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Adebayor Akubali Kusaini Simba

WAKATI Simba SC ikiambulia pointi moja mbele ya US Gendarmerie juzi Jumapili, ilifanya umafia kwa kuzungumza na wakala wa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Victorien Adebayor ili kumsajili.

Adebayor ni kati ya wachezaji tegemeo katika kikosi cha Gendarmarie ambaye katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane msimu huu alifunga mabao mawili.

Katika mchezo huo wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika uliomalizika kwa sare ya 1-1, Adebayor aliwasumbua sana walinzi wa Simba akitumia vizuri mguu wake wa kushoto.

Akizungumza na Spoti Xtra, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ alisema: “Tayari tumeanza kufanya mazungumzo na wakala wa mshambuliaji Adebayor.

“Tumesikia anacheza hapa kwa mkopo, huyu ni mchezaji wa kucheza timu kubwa kama Simba na siyo kwenda Ulaya.

“Nitajitahidi kumshauri Rais wa Heshima wa Klabu (Mohammed Dewji) avunje benki ili tuipate saini yake.”

Kwa upande wa Adebayor mwenyewe akizungumza juu ya uwezekano wa kutua Simba, alisema: “Hakuna ambaye anaweza kukataa kucheza kwenye klabu kubwa kama Simba.

“Nipo tayari na kama bahati kwangu, kwa sababu Simba ni moja kati ya klabu kubwa Afrika, ni heshima na bahatikwangu kutakiwa na klabu hiyo.”

Adebayor ambaye ni raia wa Nigeria, anacheza US Gendarmarie kwa mkopo akitokea HB Koge ya Denmark. Aliwahi pia kucheza ENPPI ya Misri.

Nyota huyo kwa sasa thamani yake imepanda hadi kufikia dola za marekani 200,000 ambazo ni zaidi ya milioni 468 za Kitanzania.

[QUOTE="vuligate, post: 1043, member: 123"] [HEADING=1]Adebayor Akubali Kusaini Simba[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/Adebayor-6.jpg[/IMG] WAKATI Simba SC ikiambulia pointi moja mbele ya US Gendarmerie juzi Jumapili, ilifanya umafia kwa kuzungumza na wakala wa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Victorien Adebayor ili kumsajili. Adebayor ni kati ya wachezaji tegemeo katika kikosi cha Gendarmarie ambaye katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane msimu huu alifunga mabao mawili. Katika mchezo huo wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika uliomalizika kwa sare ya 1-1, Adebayor aliwasumbua sana walinzi wa Simba akitumia vizuri mguu wake wa kushoto. Akizungumza na Spoti Xtra, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ alisema: “Tayari tumeanza kufanya mazungumzo na wakala wa mshambuliaji Adebayor. “Tumesikia anacheza hapa kwa mkopo, huyu ni mchezaji wa kucheza timu kubwa kama Simba na siyo kwenda Ulaya. “Nitajitahidi kumshauri Rais wa Heshima wa Klabu (Mohammed Dewji) avunje benki ili tuipate saini yake.” Kwa upande wa Adebayor mwenyewe akizungumza juu ya uwezekano wa kutua Simba, alisema: “Hakuna ambaye anaweza kukataa kucheza kwenye klabu kubwa kama Simba. “Nipo tayari na kama bahati kwangu, kwa sababu Simba ni moja kati ya klabu kubwa Afrika, ni heshima na bahatikwangu kutakiwa na klabu hiyo.” Adebayor ambaye ni raia wa Nigeria, anacheza US Gendarmarie kwa mkopo akitokea HB Koge ya Denmark. Aliwahi pia kucheza ENPPI ya Misri. Nyota huyo kwa sasa thamani yake imepanda hadi kufikia dola za marekani 200,000 ambazo ni zaidi ya milioni 468 za Kitanzania. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Usajili
Top
Bottom