Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Usajili
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Sarpong amerudi tena RNFL

MSHAMBULIAJI wa Zamani wa Yanga, Mghana Michael Sarpong amejiunga rasmi na timu ya AS Kigali inayoshiriki Ligi Kuu Rwanda (RNFL), akitokea Al Nahda Saudi FC ya Uarabuni.

Sarpong aliyeichezea Yanga msimu wa 2020-2021, kutua kwake AS Kigali kunamfanya kukutana na wachezaji wawili waliocheza wote Yanga, Mnyarwanda Haruna Niyonzima na Mghana Lamine Moro wanaokipiga ndani ya Klabu hiyo.

Hata hivyo sio kwa mara ya kwanza kwa Sarpong kucheza RNFL kwani kabla ya kujiunga na Yanga alikuwa akiichezea Rayon Sports, moja ya timu yenye mashabiki wengi nchini Rwanda.

Baada ya kujiunga na timu hiyo, Sarpong amesema ataipambania timu na kuhakikisha inafikia malengo iliyojiwekea.

“Nimekuja hapa kufanya kazi, nitajituma sana kwa kushirikiana na wenzangu ili tufikie malengo ya timu,” alisema Sarpong aliyekabidhiwa jezi namba 23.

Katika RNFL, AS Kigali ipo nafasi ya tano, baada ya kucheza mechi 19 na kuvuna pointi 31 ikiwa imeshinda nane, sare saba na kupoteza nne.

[QUOTE="mhariri, post: 1110, member: 122"] [HEADING=1]Sarpong amerudi tena RNFL[/HEADING] [IMG alt="Sarpong PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3733388/landscape_ratio16x9/1160/652/dc1ae5a0f68c9febb11613398d2e806e/ON/sarpong-pic.jpg[/IMG] MSHAMBULIAJI wa Zamani wa Yanga, Mghana Michael Sarpong amejiunga rasmi na timu ya AS Kigali inayoshiriki Ligi Kuu Rwanda (RNFL), akitokea Al Nahda Saudi FC ya Uarabuni. Sarpong aliyeichezea Yanga msimu wa 2020-2021, kutua kwake AS Kigali kunamfanya kukutana na wachezaji wawili waliocheza wote Yanga, Mnyarwanda Haruna Niyonzima na Mghana Lamine Moro wanaokipiga ndani ya Klabu hiyo. Hata hivyo sio kwa mara ya kwanza kwa Sarpong kucheza RNFL kwani kabla ya kujiunga na Yanga alikuwa akiichezea Rayon Sports, moja ya timu yenye mashabiki wengi nchini Rwanda. Baada ya kujiunga na timu hiyo, Sarpong amesema ataipambania timu na kuhakikisha inafikia malengo iliyojiwekea. “Nimekuja hapa kufanya kazi, nitajituma sana kwa kushirikiana na wenzangu ili tufikie malengo ya timu,” alisema Sarpong aliyekabidhiwa jezi namba 23. Katika RNFL, AS Kigali ipo nafasi ya tano, baada ya kucheza mechi 19 na kuvuna pointi 31 ikiwa imeshinda nane, sare saba na kupoteza nne. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Usajili
Top
Bottom