Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Usajili
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

RUVU SHOOTING YASAJILI SABA WAPYA KUIMARISHA KIKOSI LIGI KUU.

[ATTACH=full]289[/ATTACH]

KLABU ya Ruvu Shooting ya Pwani imeimarisha kikosi chake kwa kusajili wachezaji saba wapya kuelekea sehemu iliyobaki ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

Hao ni kipa Benedict Tinocco, beki Iddi Mfaume Mobby kutoka Geita Gold, winga Haroun Chanongo na mshambuliaji Abalkassim Suleiman kutoka Mtibwa Sugar.

Wengine ni kiungo Hussein Suleiman ‘Chuse’ kutoka Mbao FC ya Mwanza, beki anayeweza kucheza kama kiungo pia, Jaffar Mohamed kutoka Namungo FC na mshambuliaji Hamad Rajab Majimengi kutoka Coastal Union ya Tanga.

[QUOTE="Amir, post: 381, member: 20"] [HEADING=2]RUVU SHOOTING YASAJILI SABA WAPYA KUIMARISHA KIKOSI LIGI KUU.[/HEADING] [ATTACH type="full"]289[/ATTACH] KLABU ya Ruvu Shooting ya Pwani imeimarisha kikosi chake kwa kusajili wachezaji saba wapya kuelekea sehemu iliyobaki ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Hao ni kipa Benedict Tinocco, beki Iddi Mfaume Mobby kutoka Geita Gold, winga Haroun Chanongo na mshambuliaji Abalkassim Suleiman kutoka Mtibwa Sugar. Wengine ni kiungo Hussein Suleiman ‘Chuse’ kutoka Mbao FC ya Mwanza, beki anayeweza kucheza kama kiungo pia, Jaffar Mohamed kutoka Namungo FC na mshambuliaji Hamad Rajab Majimengi kutoka Coastal Union ya Tanga. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Usajili
Top
Bottom