Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Usajili
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

KIIZA ‘DIEGO’ ALIYEWIKA SIMBA NA YANGA ATUA KAGERA SUGAR

[ATTACH=full]290[/ATTACH]

TIMU ya Kagera Sugar imesajili washambuliaji wawili wapya katika dirisha hili dogo kuimarisha kikosi chake kuelekea sehemu iliyobaki ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

Hao ni mshambuliaji wa zamani wa kimataifa wa Uganda, Hamisi Kiiza ‘Diego’ aliyewika klabu za Yanga na Simba za Dar es Salaam na Freddy Cossmas Lewis aliyewahi kucheza Mwadui FC ya Shinyanga wawili hao wote wakihamia Misenyi, Bukoba Vijijini mkoani Kagera kama wachezaji huru.

[QUOTE="Amir, post: 382, member: 20"] [HEADING=2]KIIZA ‘DIEGO’ ALIYEWIKA SIMBA NA YANGA ATUA KAGERA SUGAR[/HEADING] [ATTACH type="full"]290[/ATTACH] TIMU ya Kagera Sugar imesajili washambuliaji wawili wapya katika dirisha hili dogo kuimarisha kikosi chake kuelekea sehemu iliyobaki ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Hao ni mshambuliaji wa zamani wa kimataifa wa Uganda, Hamisi Kiiza ‘Diego’ aliyewika klabu za Yanga na Simba za Dar es Salaam na Freddy Cossmas Lewis aliyewahi kucheza Mwadui FC ya Shinyanga wawili hao wote wakihamia Misenyi, Bukoba Vijijini mkoani Kagera kama wachezaji huru. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Usajili
Top
Bottom