Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Usajili
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

CHICO USHINDI WA KUBANZA MCHEZAJI MPYA YANGA SC

[ATTACH=full]327[/ATTACH]

KLABU ya Yanga imemtambulisha winga Mkongo, Chico Ushindi Wa Kubanza kuwa klabu ya TP Mazembe ya kwao, Kinshasa kuwa mchezaji wake mpya wa sita dirisha hili dogo ambalo limefungwa jana Saa 6:00 usiku.

Ushindi anakuwa mgeni wa kwanza dirisha hili dogo baada ya awali kusajiliwa wageni watano, ambao ni kipa Abdultwalib Mshery, beki beki Ibrahim Abdallah Hamad ‘Bacca’ kutoka KMKM ya Zanzibar, kiungo Salum Abubakar ‘Sure Boy’ kutoka Azam FC, winga Dennis Nkane kutoka Biashara United na mshambuliaji Crispin Ngushi kutoka Mbeya Kwanza.

[ATTACH=full]328[/ATTACH]

Pamoja na Ushindi mwenye umri wa miaka 26, Yanga pia imemtambulisha Mbrazil, Milton Nienov kuwa kocha wake mpya wa makipa.

[QUOTE="mhariri, post: 409, member: 122"] [HEADING=2]CHICO USHINDI WA KUBANZA MCHEZAJI MPYA YANGA SC[/HEADING] [ATTACH type="full"]327[/ATTACH] KLABU ya Yanga imemtambulisha winga Mkongo, Chico Ushindi Wa Kubanza kuwa klabu ya TP Mazembe ya kwao, Kinshasa kuwa mchezaji wake mpya wa sita dirisha hili dogo ambalo limefungwa jana Saa 6:00 usiku. Ushindi anakuwa mgeni wa kwanza dirisha hili dogo baada ya awali kusajiliwa wageni watano, ambao ni kipa Abdultwalib Mshery, beki beki Ibrahim Abdallah Hamad ‘Bacca’ kutoka KMKM ya Zanzibar, kiungo Salum Abubakar ‘Sure Boy’ kutoka Azam FC, winga Dennis Nkane kutoka Biashara United na mshambuliaji Crispin Ngushi kutoka Mbeya Kwanza. [ATTACH type="full"]328[/ATTACH] Pamoja na Ushindi mwenye umri wa miaka 26, Yanga pia imemtambulisha Mbrazil, Milton Nienov kuwa kocha wake mpya wa makipa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Usajili
Top
Bottom