Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Usajili
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

TP Mazembe Wamfuata Msuva Dar.

UONGOZI wa Klabu ya TP Mazembe, umefunguka kuhitaji kumsajili winga Mtanzania, Simon Msuva anayekipiga Wydad Casablanca ya Morocco, huku ukiweka wazi mipango yao ya kuhitaji kukirudisha kikosi chao katika mafanikioya kimataifa kunako michuano ya Afrika.

Msuva licha ya timu yake ya Wydad Casablanca kuendelea kucheza katika mashindano mbalimbali, lakini winga huyo yupo Tanzania akiendelea kujifua, huku ikielezwa kwa sasa hayupo kwenye maelewano mazuri na mabosi wake hao kutoka Morocco.

Bosi mmoja kutoka TP Mazembe ambaye hakutaka kutajwa jina lake, ameliambia Spoti Xtra kwamba, wapo kwenye mikakati ya kuhitaji kumsajili Msuva, huku akisema malengo yao ni kuja hapa nchini kwa ajili ya kufanya mazungumzo na muhusika ambaye wanaamini kama watamsajili basi atawasaidia hususan katika michuano ya kimataifa.

“Ni kweli Msuva ni moja kati ya wachezaji ambao tumekuwa tukiwahitaji kwa muda mrefu kabla hajajiunga na Wydad Casablanca, lakini shida kubwa kwa kuwa alikuwa anacheza Morocco ilikuwa rahisi kwa yeye kuhamia

alipo sasa, lakini kwa hiki ambacho kinaendelea kati yake na timu tunaamini ni muda wetu wa kufanya naye mazungumzo.

“Tunaangalia uwezekano wa sisi kuja Tanzania kwa ajili ya mazungumzo na mchezaji mwenyewe tuone

itakuwaje.

“Msuva ni mchezaji mzuri na mkubwa, hivi sasa tunahitaji kuirudisha timu katika ubora wa kufanya vizuri katika michuano ya kimataifa na tunamuona Msuva akiwa katika hadhi hiyo,” alisema bosi huyo.

Spoti Xtra lilipomtafuta Mratibu wa TP Mazembe, Jean Kazadi, kuzungumzia dili hilo, alisema: “Uongozi upo kazini katika kuhakikisha TP Mazembe inasajili wachezaji wazuri.

“Kuhusu Msuva sikatai kuzungumza kuwa tayari tumezungumza naye au tupo katika mazungumzo naye, lakini unatakiwa kufahamu kuwa TP Mazembe inamuhitaji kutokana na uwezo mkubwa alionao.”

[QUOTE="Amir, post: 647, member: 20"] [HEADING=1]TP Mazembe Wamfuata Msuva Dar.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2020/12/MSUVA-003.jpg[/IMG] UONGOZI wa Klabu ya TP Mazembe, umefunguka kuhitaji kumsajili winga Mtanzania, Simon Msuva anayekipiga Wydad Casablanca ya Morocco, huku ukiweka wazi mipango yao ya kuhitaji kukirudisha kikosi chao katika mafanikioya kimataifa kunako michuano ya Afrika. Msuva licha ya timu yake ya Wydad Casablanca kuendelea kucheza katika mashindano mbalimbali, lakini winga huyo yupo Tanzania akiendelea kujifua, huku ikielezwa kwa sasa hayupo kwenye maelewano mazuri na mabosi wake hao kutoka Morocco. Bosi mmoja kutoka TP Mazembe ambaye hakutaka kutajwa jina lake, ameliambia Spoti Xtra kwamba, wapo kwenye mikakati ya kuhitaji kumsajili Msuva, huku akisema malengo yao ni kuja hapa nchini kwa ajili ya kufanya mazungumzo na muhusika ambaye wanaamini kama watamsajili basi atawasaidia hususan katika michuano ya kimataifa. “Ni kweli Msuva ni moja kati ya wachezaji ambao tumekuwa tukiwahitaji kwa muda mrefu kabla hajajiunga na Wydad Casablanca, lakini shida kubwa kwa kuwa alikuwa anacheza Morocco ilikuwa rahisi kwa yeye kuhamia alipo sasa, lakini kwa hiki ambacho kinaendelea kati yake na timu tunaamini ni muda wetu wa kufanya naye mazungumzo. “Tunaangalia uwezekano wa sisi kuja Tanzania kwa ajili ya mazungumzo na mchezaji mwenyewe tuone itakuwaje. “Msuva ni mchezaji mzuri na mkubwa, hivi sasa tunahitaji kuirudisha timu katika ubora wa kufanya vizuri katika michuano ya kimataifa na tunamuona Msuva akiwa katika hadhi hiyo,” alisema bosi huyo. Spoti Xtra lilipomtafuta Mratibu wa TP Mazembe, Jean Kazadi, kuzungumzia dili hilo, alisema: “Uongozi upo kazini katika kuhakikisha TP Mazembe inasajili wachezaji wazuri. “Kuhusu Msuva sikatai kuzungumza kuwa tayari tumezungumza naye au tupo katika mazungumzo naye, lakini unatakiwa kufahamu kuwa TP Mazembe inamuhitaji kutokana na uwezo mkubwa alionao.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Usajili
Top
Bottom