Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Usajili
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Msuva afunguka kuhusu wapi atacheza msimu ujao.

KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva, amesema kuwa Watanzania wanatakiwa kuwa watulivu na muda ukifika ndiyo ataweka wazi kila kitu kuhusu anachopitia kwa sasa kwenye soka.

Msuva alifunguka kuwa akili yake kwa sasa anaielekeza kwenye kufanya mazoezi zaidi ili kuendelea kuwa fiti na ndiyo maana amekuwa mgumu kuzungumza na vyombo vya habari kwa kuwa muda wa kufanya hivyo bado haujafika.

Akizungumza na Championi Jumatatu, Msuva alisema yeye ndiye anajua kila kitu kuhusu wapi atacheza msimu ujao na nini kinaendelea juu ya masuala yake ya kimkataba na klabu ya Wydad Casablanca na wakati wa kuweka wazi ukifika atasema na watu wanapaswa kuwa watulivu.

“Watanzania watulie tu kwa sasa, mimi nitasema muda ukifika nini kinaendelea kwangu, kwa sasa akili yangu naelekeza zaidi kwenye kufanya mazoezi ili kuendelea kuwa fiti zaidi,” alisema Msuva.

Msuva yupo nchini takribani miezi miwili sasa, ikidaiwa ameondoka Wydad Casablanca kwa sasa, anahitaji kulipwa maslahi yake ya kimkataba ikiwemo fedha za usajili, huku taarifa zikiibuka kuwa TP Mazembe wapo wanawinda saini yake pia.

[QUOTE="Amir, post: 902, member: 20"] [HEADING=1]Msuva afunguka kuhusu wapi atacheza msimu ujao.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2020/12/MSUVA-003.jpg[/IMG] KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva, amesema kuwa Watanzania wanatakiwa kuwa watulivu na muda ukifika ndiyo ataweka wazi kila kitu kuhusu anachopitia kwa sasa kwenye soka. Msuva alifunguka kuwa akili yake kwa sasa anaielekeza kwenye kufanya mazoezi zaidi ili kuendelea kuwa fiti na ndiyo maana amekuwa mgumu kuzungumza na vyombo vya habari kwa kuwa muda wa kufanya hivyo bado haujafika. Akizungumza na Championi Jumatatu, Msuva alisema yeye ndiye anajua kila kitu kuhusu wapi atacheza msimu ujao na nini kinaendelea juu ya masuala yake ya kimkataba na klabu ya Wydad Casablanca na wakati wa kuweka wazi ukifika atasema na watu wanapaswa kuwa watulivu. “Watanzania watulie tu kwa sasa, mimi nitasema muda ukifika nini kinaendelea kwangu, kwa sasa akili yangu naelekeza zaidi kwenye kufanya mazoezi ili kuendelea kuwa fiti zaidi,” alisema Msuva. Msuva yupo nchini takribani miezi miwili sasa, ikidaiwa ameondoka Wydad Casablanca kwa sasa, anahitaji kulipwa maslahi yake ya kimkataba ikiwemo fedha za usajili, huku taarifa zikiibuka kuwa TP Mazembe wapo wanawinda saini yake pia. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Usajili
Top
Bottom