Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
USAJILI.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Joao Felix Anukia Arsenal

ARSENAL imetajwa kumuwania saini ya nyota wa Atletico Madrid, Joao Felix na kocha Mikel Arteta akitajwa kuwa na mpango naye Felix alijiunga na Atletico Madrid mwaka 2019 kwa pauni 113m kutoka Benfica ameshindwa kutamba kikosini hapo.

Inaelezwa kuwa majira ya joto mwaka huu kuna uwezekanao mkubwa kwa Felix kuondoka kikosini hapo na Atletico wakamsajili Concalo Guedes wa Valencia kama mbadala wake.

Ripoti zinaeleza kuwa Arsenal tayari wameanza kumfuatilia kwa ukaribu Mreno huyo hasa baada ya kumkosa Dusan Vlahhovic, Januari mwaka huu, Felix bado ana mkataba wa miaka minne na Atletico na kipengele cha kutaka kumuachia ni kiasi cha pauni 219m.

Imeelezwa kuwa Arteta anataka kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji licha ya Felix hivi karibuni kiwango chake kuonekana kusuasusa.

[QUOTE="Amir, post: 1058, member: 20"] [HEADING=1]Joao Felix Anukia Arsenal[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/felix.jpg[/IMG] ARSENAL imetajwa kumuwania saini ya nyota wa Atletico Madrid, Joao Felix na kocha Mikel Arteta akitajwa kuwa na mpango naye Felix alijiunga na Atletico Madrid mwaka 2019 kwa pauni 113m kutoka Benfica ameshindwa kutamba kikosini hapo. Inaelezwa kuwa majira ya joto mwaka huu kuna uwezekanao mkubwa kwa Felix kuondoka kikosini hapo na Atletico wakamsajili Concalo Guedes wa Valencia kama mbadala wake. Ripoti zinaeleza kuwa Arsenal tayari wameanza kumfuatilia kwa ukaribu Mreno huyo hasa baada ya kumkosa Dusan Vlahhovic, Januari mwaka huu, Felix bado ana mkataba wa miaka minne na Atletico na kipengele cha kutaka kumuachia ni kiasi cha pauni 219m. Imeelezwa kuwa Arteta anataka kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji licha ya Felix hivi karibuni kiwango chake kuonekana kusuasusa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
USAJILI.
Top
Bottom