Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
USAJILI.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Man City kulainisha dili la Kane Man United

MANCHESTER ENGLAND. MANCHESTER United ikifanikiwa kunasa huduma ya kocha Mauricio Pochettino, watatoboa kwenye mbio zao za kumsajili straika wa Tottenham Hotspur, Harry Kane kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi.

Kocha huyo wa Paris Saint-Germain, Pochettino amekuwa akitajwa kuwekwa kwenye orodha ya kwanza kwa makocha wanaosakwa huko Old Trafford kwenda kuchukua mikoba ya Ralf Rangnick, huku mabosi wengine wanaosakwa ni Erik ten Hag na Luis Enrique.

Harry Kane anaelezwa kwamba atamfuata Pochettino endapo kama atatua Old Trafford na hilo litasaidiwa zaidi na Manchester City kama watafanikiwa kunasa saini ya Erling Haaland kutoka Borussia Dortmund.

Man City walihitaji saini ya Kane kwenye dirisha la uhamisho wa majira ya kiangazi mwaka jana, lakini walishindwa kuafikiana bei na Spurs, ambapo bosi wa timu hiyo, Daniel Levy alihitaji alipwe Pauni 160 milioni.

Kwa sasa kocha Pep Guardiola amehamishia nguvu kwa Haaland, jambo litakalowafanya Man United kuwa kwenye vita ya peke yao katika kufukuzia huduma ya Kane.

Man City wao wameshamsajili straika wa Kiargentina, Julian Alvarez, lakini imembakiza huko River Plate, hivyo kwenye dirisha lijalo hawatahitaji kutumia pesa nyingi kumsajili mshambuliaji na badala yake watamchukua Haaland, ambaye anaelezwa kwamba atapatikana kwa ada ya Pauni 64 milioni pekee kwa mujibu wa kipengele kilichochomekwa kwenye mkataba wake. Kane, ambaye amefunga mabao 24 kwa klabu na nchi yake msimu huu, bado ana mkataba mrefu huko Spurs hadi majira ya kiangazi 2024.

[QUOTE="mhariri, post: 1111, member: 122"] [HEADING=1]Man City kulainisha dili la Kane Man United[/HEADING] [IMG alt="Kane PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3733240/landscape_ratio16x9/1160/652/481c3461616df7b9e53cbcf764422487/yS/kane-pic.jpg[/IMG] [B]MANCHESTER ENGLAND[/B]. MANCHESTER United ikifanikiwa kunasa huduma ya kocha Mauricio Pochettino, watatoboa kwenye mbio zao za kumsajili straika wa Tottenham Hotspur, Harry Kane kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi. Kocha huyo wa Paris Saint-Germain, Pochettino amekuwa akitajwa kuwekwa kwenye orodha ya kwanza kwa makocha wanaosakwa huko Old Trafford kwenda kuchukua mikoba ya Ralf Rangnick, huku mabosi wengine wanaosakwa ni Erik ten Hag na Luis Enrique. Harry Kane anaelezwa kwamba atamfuata Pochettino endapo kama atatua Old Trafford na hilo litasaidiwa zaidi na Manchester City kama watafanikiwa kunasa saini ya Erling Haaland kutoka Borussia Dortmund. Man City walihitaji saini ya Kane kwenye dirisha la uhamisho wa majira ya kiangazi mwaka jana, lakini walishindwa kuafikiana bei na Spurs, ambapo bosi wa timu hiyo, Daniel Levy alihitaji alipwe Pauni 160 milioni. Kwa sasa kocha Pep Guardiola amehamishia nguvu kwa Haaland, jambo litakalowafanya Man United kuwa kwenye vita ya peke yao katika kufukuzia huduma ya Kane. Man City wao wameshamsajili straika wa Kiargentina, Julian Alvarez, lakini imembakiza huko River Plate, hivyo kwenye dirisha lijalo hawatahitaji kutumia pesa nyingi kumsajili mshambuliaji na badala yake watamchukua Haaland, ambaye anaelezwa kwamba atapatikana kwa ada ya Pauni 64 milioni pekee kwa mujibu wa kipengele kilichochomekwa kwenye mkataba wake. Kane, ambaye amefunga mabao 24 kwa klabu na nchi yake msimu huu, bado ana mkataba mrefu huko Spurs hadi majira ya kiangazi 2024. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
USAJILI.
Top
Bottom