Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
USAJILI.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Messi anukia Marekani, Beckham asimamia shoo

INTER Miami imepanga kumshawishi staa wa Paris St-Germain na Argentina, Lionel Messi, 34, atue kikosini kwao katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ikiwa staa huyo ataamua kuondoka kwenye timu yake.

Mkataba wa sasa wa Messi unatarajiwa kumalizika 2023 na amekuwa akitamani kucheza Ligi Kuu ya Marekani kabla ya kustaafu.

Kabla ya kutua PSG akitokea Barcelona, supastaa huyu alikuwa na asilimia kubwa kujiunga na Manchester City kwa sababu ilimhakikishia nafasi ya kucheza Marekani mara baada ya kumalizika kwa mkataba.

Inaelezwa kuwa Messi ameshaanza kujiandaa na maisha ya nchini humo kwani tayari ameshanunua nyumba.

Asilimia za Messi kujiunga na Inter Miami zinaonekana kuwa nyingi kutokana na ushawishi mkubwa uliopo wa mmiliki wa timu hiyo, David Beckham ambaye ana uhusiano mzuri na staa huyo.

Hata hivyo, Messi hajaonyesha kiwango bora tangu msimu huu uanze akiwa na PSG akicheza mechi 23 za michuano yote na kufunga mabao saba sambamba na kutoa asisti 11 kwa mabingwa hao wa Ufaransa.

[QUOTE="mhariri, post: 1112, member: 122"] [HEADING=1]Messi anukia Marekani, Beckham asimamia shoo[/HEADING] [IMG alt="messi pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3566946/b9c56c99d91c315daf60f89945960077/messi-pic-data.jpg[/IMG] INTER Miami imepanga kumshawishi staa wa Paris St-Germain na Argentina, Lionel Messi, 34, atue kikosini kwao katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ikiwa staa huyo ataamua kuondoka kwenye timu yake. Mkataba wa sasa wa Messi unatarajiwa kumalizika 2023 na amekuwa akitamani kucheza Ligi Kuu ya Marekani kabla ya kustaafu. Kabla ya kutua PSG akitokea Barcelona, supastaa huyu alikuwa na asilimia kubwa kujiunga na Manchester City kwa sababu ilimhakikishia nafasi ya kucheza Marekani mara baada ya kumalizika kwa mkataba. Inaelezwa kuwa Messi ameshaanza kujiandaa na maisha ya nchini humo kwani tayari ameshanunua nyumba. Asilimia za Messi kujiunga na Inter Miami zinaonekana kuwa nyingi kutokana na ushawishi mkubwa uliopo wa mmiliki wa timu hiyo, David Beckham ambaye ana uhusiano mzuri na staa huyo. Hata hivyo, Messi hajaonyesha kiwango bora tangu msimu huu uanze akiwa na PSG akicheza mechi 23 za michuano yote na kufunga mabao saba sambamba na kutoa asisti 11 kwa mabingwa hao wa Ufaransa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
USAJILI.
Top
Bottom