Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
USAJILI.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Conte: Nyota Tuliowasajili Januari Hamna Kitu

KOCHA Antonio Conte amedai kuwa sera ya usajili ya Tottenham inadhoofisha kikosi, huku akiweka wazi kuwa wachezaji waliowasajili wakati wa dirisha la Januari wamekwenda kukiharibu zaidi kikosi chao badala ya kukiboresha.

Muitaliano huyo amedai kuwa timu yake sasa ina nafasi ya asilimia moja tu kumaliza top 4 katika Premier, Tottenham wanaivaa Man City leo Jumamosi ugenini wakitoka kupoteza mechi tatu mfululizo za Premier.

Katika usajili wa Januari, Spurs waliwaongeza viungo Dejan Kulusevski na Rodrigo Bentancur kutoka Juventus, huku Tanguy Ndombele, Bryan Gil, Dele Alli na Giovani Lo Celso wakiondoka “Badala ya kukiboresha kikosi, tumekidhoofisha,” alisema.

“Bentancur na Kulusevski ni wazuri kwa Tottenham siku zijazo, kwa sababu Tottenham wanatafuta wachezaji makinda, wanaweza kukua na kuendelea, siyo wachezaji walio tayari. Hili ni tatizo. Nimegundua sasa kwamba haya ndiyo maono ya klabu.”

[QUOTE="Amir, post: 991, member: 20"] [HEADING=1]Conte: Nyota Tuliowasajili Januari Hamna Kitu[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/Tottenham-Antonio-Conte-F365.jpg[/IMG] KOCHA Antonio Conte amedai kuwa sera ya usajili ya Tottenham inadhoofisha kikosi, huku akiweka wazi kuwa wachezaji waliowasajili wakati wa dirisha la Januari wamekwenda kukiharibu zaidi kikosi chao badala ya kukiboresha. Muitaliano huyo amedai kuwa timu yake sasa ina nafasi ya asilimia moja tu kumaliza top 4 katika Premier, Tottenham wanaivaa Man City leo Jumamosi ugenini wakitoka kupoteza mechi tatu mfululizo za Premier. Katika usajili wa Januari, Spurs waliwaongeza viungo Dejan Kulusevski na Rodrigo Bentancur kutoka Juventus, huku Tanguy Ndombele, Bryan Gil, Dele Alli na Giovani Lo Celso wakiondoka “Badala ya kukiboresha kikosi, tumekidhoofisha,” alisema. “Bentancur na Kulusevski ni wazuri kwa Tottenham siku zijazo, kwa sababu Tottenham wanatafuta wachezaji makinda, wanaweza kukua na kuendelea, siyo wachezaji walio tayari. Hili ni tatizo. Nimegundua sasa kwamba haya ndiyo maono ya klabu.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
USAJILI.
Top
Bottom