Ushindi wa tatu wa Azam

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Ushindi wa 3 kwa Azam FC.
Azam wanapata ushindi wa tatu mfululizo dhidi ya Dodoma Jiji wakiwa uwanja wa nyumbani Chamazi nakuwapeleka hadi nafasi ya pili kwa pointi 20 kwenye ligi ya NBC, wakiwa wamecheza michezo 10 mpaka sasa huku aliyejuu yake Young Africans nafasi ya kwanza kwa point 20 akiwa na mechi 8. Simba wakiwa nafasi ya tatu kwa point 18 na wamecheza mechi 9.

FT: Azam 2-1 Dodoma Jiji
33ab0821-0a16-4cd3-8fb7-6f56e4ccb653.jpg