Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ushindi wa Yanga dhidi ya KMC leo ni ishara kwamba Simba wasahau ubingwa?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga jioni ya leo wameibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya KMC,baada ya ushindi huo ni rasmi sasa yanga watakuwa kileleni kwa tofauti ya alama 8 dhidi ya mpinzani wake Simba.

Yanga leo wamecheza kibingwa zaidi hawakuhitaji kucheza soka safi sana ila no kutafuta matokeo ya alama tatu.

Kocha Nabi amefanya mabadiliko mengi kwenye kikosi chake leo, ili kupumzisha sehemu kubwa ya wachezaji wake wa kikosi cha kwanza ambao watakuwa na mchezo mgumu dhidi ya Real Bamako ya Mali.

Kwa matokeo ya leo Yanga wanafikisha alama 62 huku mpinzani wake akibakia na alama 54 baada ya kupata sare dhidi ya Azam jana.

Je, kwa msimamo ulivyo unafikiri Simba wanaweza kupambania nafasi ya ubingwa wakati huo Yanga akihitaji kushinda mechi tano kati ya saba zilizobaki kutangaza ubingwa?[ATTACH=full]1258[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3404, member: 622"] Yanga jioni ya leo wameibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya KMC,baada ya ushindi huo ni rasmi sasa yanga watakuwa kileleni kwa tofauti ya alama 8 dhidi ya mpinzani wake Simba. Yanga leo wamecheza kibingwa zaidi hawakuhitaji kucheza soka safi sana ila no kutafuta matokeo ya alama tatu. Kocha Nabi amefanya mabadiliko mengi kwenye kikosi chake leo, ili kupumzisha sehemu kubwa ya wachezaji wake wa kikosi cha kwanza ambao watakuwa na mchezo mgumu dhidi ya Real Bamako ya Mali. Kwa matokeo ya leo Yanga wanafikisha alama 62 huku mpinzani wake akibakia na alama 54 baada ya kupata sare dhidi ya Azam jana. Je, kwa msimamo ulivyo unafikiri Simba wanaweza kupambania nafasi ya ubingwa wakati huo Yanga akihitaji kushinda mechi tano kati ya saba zilizobaki kutangaza ubingwa?[ATTACH type="full" alt="20230222_180032.jpg"]1258[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ushindi wa Yanga dhidi ya KMC leo ni ishara kwamba Simba wasahau ubingwa?
Top
Bottom