Uwezo wa timu ndo utawavusha Kombe la dunia

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
Uwezo wa timu na userious wa wachezaji ndio utakaoivusha timu raundi inayofata au utakayoizuia kufika raundi inayofata,uwe rainbow au usiwe sisi tunachotaka ni ubora wako uwanjani,So Germany wakicheza mechi ya mwisho kama walivyocheza jana na Spain basi anavuka na kwenda raundi inayofata
be86bb65-1030-4f4a-9d01-89fccf75ef72.jpg
 
  • Like
Reactions: Kriss and Nabi

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Uwezo wa timu na userious wa wachezaji ndio utakaoivusha timu raundi inayofata au utakayoizuia kufika raundi inayofata,uwe rainbow au usiwe sisi tunachotaka ni ubora wako uwanjani,So Germany wakicheza mechi ya mwisho kama walivyocheza jana na Spain basi anavuka na kwenda raundi inayofa

Uwezo wa timu na userious wa wachezaji ndio utakaoivusha timu raundi inayofata au utakayoizuia kufika raundi inayofata,uwe rainbow au usiwe sisi tunachotaka ni ubora wako uwanjani,So Germany wakicheza mechi ya mwisho kama walivyocheza jana na Spain basi anavuka na kwenda raundi inayofata
View attachment 653
Huyu si ndio alijifanya kwenda na ndege yake yenye rainbow saivi ishajaza wese tayar Kwa safari
 
Kriss

Mgeni
Nov 4, 2022
102
138

Naam mzee