Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Viongozi wa Simba ndio wanaiua timu bila wao kujua kwa kufanya usajili wa kizamani mwishowe wanapoteza wachezaji je nini kifanyike?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kila nikiamka nakutana na habari mbaya za Simba tu bila kuelewa zinatoka wapi na je Viongozi kazi yao nini? Utaratibu wa kusajili kwasasa umebadilika na kuwa wa kisasa zaidi yaani uwazi na ukweli hakuna tena umafia wala njia za mkato kama ilivyo zamani ila naona viongozi wa Simba wameshikilia zama za kale.

Hawataki kwenda kisasa kufuata sheria na utaratibu maalumu wa kupata mchezaji hivyo basi inapelekea kupata wachezaji wabovu na wale wazuri wakipoteza kila kukicha kwa kushindwa kesi .

Tulianza kwa Lameck Lawi na sasa mbaya zaidi imefika Awesu Awesu ambae mchezaji mzuri sana toka KMC wameshinda kesi na kumrejesha kwenye klabu yao. Bila kusahau wale waliowekwa vizuizini na TFF .

Tuwashauri awa viongozi walioshikilia uzamani na ukale kwenye kuendesha klabu ili kuinusuru klabu hii ya Simba Sports Club na soka la Tanzania kwa ujumla .

[QUOTE="DeviMitupio, post: 8423, member: 2312"] Kila nikiamka nakutana na habari mbaya za Simba tu bila kuelewa zinatoka wapi na je Viongozi kazi yao nini? Utaratibu wa kusajili kwasasa umebadilika na kuwa wa kisasa zaidi yaani uwazi na ukweli hakuna tena umafia wala njia za mkato kama ilivyo zamani ila naona viongozi wa Simba wameshikilia zama za kale. Hawataki kwenda kisasa kufuata sheria na utaratibu maalumu wa kupata mchezaji hivyo basi inapelekea kupata wachezaji wabovu na wale wazuri wakipoteza kila kukicha kwa kushindwa kesi . Tulianza kwa Lameck Lawi na sasa mbaya zaidi imefika Awesu Awesu ambae mchezaji mzuri sana toka KMC wameshinda kesi na kumrejesha kwenye klabu yao. Bila kusahau wale waliowekwa vizuizini na TFF . Tuwashauri awa viongozi walioshikilia uzamani na ukale kwenye kuendesha klabu ili kuinusuru klabu hii ya Simba Sports Club na soka la Tanzania kwa ujumla . [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Viongozi wa Simba ndio wanaiua timu bila wao kujua kwa kufanya usajili wa kizamani mwishowe wanapoteza wachezaji je nini kifanyike?
Top
Bottom