Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Vipers waibe Notice za Simba CAF
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Wakati Simba wanaingia hatua ya makundi kwa mara ya kwanza walikuwa kundi moja na miamba Al Ahly na As Vita, walipoenda kucheza nao walifungwa magoli matano kwa kila mechi.

Lakini Simba kutokana na ugeni wao kwenye michuano hiyo walianza kujifunza kwamba mechi za ugenini unatakiwa kuchezaje, baada ya hapo iliyobaki ni historia.

walianza kupambania alama kwenye viwanja vya ugenini, hata kama walikosa Lakini kuna uwezo walionyesha kwenye kujilinda zaidi ili kupunguza idadi ya magoli.

Hiki ndio kitu ambacho wanakutana nacho Vipers ya Uganda, jana walifungwa magoli matano dhidi ya Raja Casablanca hii imechangiwa na kukosa nidhamu kwenye eneo Lao la ulinzi walitaka kupishana zaidi na timu iliyokuwa bora zaidi yao.

Naamini sasa watajifunza kutoka kwa Simba kwa kuanza kupambania angalau alama moja ugenini na kuhakikisha unavuna alama tatu nyumbani.

So far Vipers bado timu changa sana kwenye michuano hii ni mara ya kwanza wanaingia hatua ya makundi, so kufika hapa ni hatua kubwa kwao kwa sasa wanahitaji Experience na Exposure ya michuano kwanza kabla hawajaanza kushindana rasmi wakati mwingine.[ATTACH=full]1196[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3257, member: 622"] Wakati Simba wanaingia hatua ya makundi kwa mara ya kwanza walikuwa kundi moja na miamba Al Ahly na As Vita, walipoenda kucheza nao walifungwa magoli matano kwa kila mechi. Lakini Simba kutokana na ugeni wao kwenye michuano hiyo walianza kujifunza kwamba mechi za ugenini unatakiwa kuchezaje, baada ya hapo iliyobaki ni historia. walianza kupambania alama kwenye viwanja vya ugenini, hata kama walikosa Lakini kuna uwezo walionyesha kwenye kujilinda zaidi ili kupunguza idadi ya magoli. Hiki ndio kitu ambacho wanakutana nacho Vipers ya Uganda, jana walifungwa magoli matano dhidi ya Raja Casablanca hii imechangiwa na kukosa nidhamu kwenye eneo Lao la ulinzi walitaka kupishana zaidi na timu iliyokuwa bora zaidi yao. Naamini sasa watajifunza kutoka kwa Simba kwa kuanza kupambania angalau alama moja ugenini na kuhakikisha unavuna alama tatu nyumbani. So far Vipers bado timu changa sana kwenye michuano hii ni mara ya kwanza wanaingia hatua ya makundi, so kufika hapa ni hatua kubwa kwao kwa sasa wanahitaji Experience na Exposure ya michuano kwanza kabla hawajaanza kushindana rasmi wakati mwingine.[ATTACH type="full"]1196[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Vipers waibe Notice za Simba CAF
Top
Bottom