Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Visit Tanzania imeanza kulipa?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Jezi za Simba wanazozitumia kwenye CAFCL wanatumia Visit Tanzania kama mdhamini wao mkuu kwa sababu mdhamini wao M-bet hawezi kutumika katika hatua ya makundi.

Hii inatokana na mdhamini mkuu wa CAF ni 1xbet hivyo italeta shida kwenye masuala ya kibiashara ( Business Competition).

Kutumika kwa Visit Tanzania kwenye jezi za Simba inaonekana imeanza kulipa baada ya wipanzani wao Raja Casablanca kutumia kivutio kimojawapo cha hifadhi ya Serengeti na Mlima Kilimanjaro kwenye mitandao ya kijamii.

Hii ni faida kwa Taifa kwa sababu itasaidia kuleta watalii kutoka mataifa mbalimbali kutoka na FAN BASE kubwa ya Raja Casablanca duniani kote.

Visit Tanzania mbele ya jezi za Simba ni platform kubwa kwa vivutio vyetu hapa nchini, kwa sababu Simba ni chapa kubwa kwa sasa Afrika na duniani kwa ujumla.[ATTACH=full]1214[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3312, member: 622"] Jezi za Simba wanazozitumia kwenye CAFCL wanatumia Visit Tanzania kama mdhamini wao mkuu kwa sababu mdhamini wao M-bet hawezi kutumika katika hatua ya makundi. Hii inatokana na mdhamini mkuu wa CAF ni 1xbet hivyo italeta shida kwenye masuala ya kibiashara ( Business Competition). Kutumika kwa Visit Tanzania kwenye jezi za Simba inaonekana imeanza kulipa baada ya wipanzani wao Raja Casablanca kutumia kivutio kimojawapo cha hifadhi ya Serengeti na Mlima Kilimanjaro kwenye mitandao ya kijamii. Hii ni faida kwa Taifa kwa sababu itasaidia kuleta watalii kutoka mataifa mbalimbali kutoka na FAN BASE kubwa ya Raja Casablanca duniani kote. Visit Tanzania mbele ya jezi za Simba ni platform kubwa kwa vivutio vyetu hapa nchini, kwa sababu Simba ni chapa kubwa kwa sasa Afrika na duniani kwa ujumla.[ATTACH type="full"]1214[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Visit Tanzania imeanza kulipa?
Top
Bottom