Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
VITA YA MESSI NA RONALDO
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

TIMU ya Manchester United itamenyana na Paris Saint-Germain katika hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya, wakati Mabingwa watetezi, Chelsea watavaana na timu nyingine ya Ufaransa, Lille.

Katika droo iliyopangwa leo Jijini Nyon nchini Uswisi, timu nyingine za England, Liverpool itamenyana na FC Red Bull Salzburg ya Austria na Manchester City itavaana na Villarreal ya Hispania.

Mechi za kwanza zitachezwa Februari 15, 16, 22 na 23 na marudiano Machi 8,9,15 na 16 mwakani.

Mechi kati ya Manchester United na PSG zinatarajiwa kuwa na mvuto wa kipekee zikiwakutanisha tena wanasoka wapinzani wakubwa, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi.

Kama unatengeneza mkeka, unampa nani hapo?

[QUOTE="Mkwavinyika, post: 74, member: 7"] TIMU ya Manchester United itamenyana na Paris Saint-Germain katika hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya, wakati Mabingwa watetezi, Chelsea watavaana na timu nyingine ya Ufaransa, Lille. Katika droo iliyopangwa leo Jijini Nyon nchini Uswisi, timu nyingine za England, Liverpool itamenyana na FC Red Bull Salzburg ya Austria na Manchester City itavaana na Villarreal ya Hispania. Mechi za kwanza zitachezwa Februari 15, 16, 22 na 23 na marudiano Machi 8,9,15 na 16 mwakani. Mechi kati ya Manchester United na PSG zinatarajiwa kuwa na mvuto wa kipekee zikiwakutanisha tena wanasoka wapinzani wakubwa, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi. Kama unatengeneza mkeka, unampa nani hapo? [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
VITA YA MESSI NA RONALDO
Top
Bottom