Vuvuzela Zipigwe Marufuku Viwanjani Tanzania , Kwani Hatuwezi Kushangilia Wenyewe?

Hammy36

Administrator
Jan 17, 2023
55
51
5
Dar Es Salaam
Vuvuzela ni vitarumbeta vilivyobuniwa Afrika ya kusini wakati wa mashindano ya FIFA world cup 2010 kwa ajili ya mashabiki kutumia wakati wa kushangilia mchezo. Baada ya hapo vikasambaa duniani kwa haraka sana na mashambiki wa nchi mbamimbali wakaanza kuvitumia kwenye kushangilia timu zao.

Hata hivyo kelele zitokanazo na upulizaji wa vuvuzela zilishindwa kuvumilika na kusababisha zipigwe marufuku sehemu mbalimbali za dunia. FIFA ilipiga marufuku upulizaji wa vuvuzela kwenye mashindano ya world cup mwaka 2014 huko Brazili, na mpaka leo vuvuzela haziruhisiwi katika mashindano ya mpira sehemu nyingiu sana duniani.

Nimekuwa naziona vuvuzela zikitumiwa na mashabiki kwenye mashindano mpira Tanzania, kwa nini vuvuzela hazijapigwa marufuku Tanzania?
 

modarich

Mpiga Chabo
Jul 5, 2024
4
0
0
me naona wazo lako alina mantiki sababu sikuizi watanzania tunapenda sana kujilinganisha na pia hiyo siteji ya kutumia sauti zetu atuja fika huko bali tunaelekea huko kwa saivi focus na vuvuzela hili kuwapa wachezaji motisha wanapokua kwenye pitch
 

Thobias

Mgeni
Aug 31, 2024
1
1
5
Vuvuzela ni kifaa muhimu katika ushangiliaji.. Hata FIFA kukataza Vuvuzela ni kwa sababu tu imebuniwa Africa, lakini bado watu wanatumia Matarumbeta, Ngoma na vitu vingine kushangilia... Na kusema zinaleta kelele, Ile ni sehemu ya Burudani, hivi kweli wanategemea kusiwe na kelele.... Vuvuzela zibaki, tuzitumie zinaleta vibe hasa mpira ukiingia nyavuni
 
  • Like
Reactions: ABDULQADIR

izzoy charles

Mpiga Chabo
Aug 31, 2024
1
0
0
Everything has an end until the time comes when vuvuzelas are rejected because Tanzanian football has grown, not that we should look at today or tomorrow is the day
 

Mc Paul@Kusekwa

Mpiga Chabo
Aug 31, 2024
2
0
0
Kelele si ndio sehemu ya burudani au mi ndio sielewi, haya majamaa yanazizuia kwa sababu tu zimebuniwa Afrika, wangebuni wao wala usingesikia huo upuuzi
 

fan

Mpiga Chabo
Aug 31, 2024
2
0
0
Yaan kun taikiwa kuw n m2 m1 ambae anatoa amas jmn yye ndio anaimbia kil.k2 yey. Mfano mzur angali tmu sa wezetu