Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Vuvuzela Zipigwe Marufuku Viwanjani Tanzania , Kwani Hatuwezi Kushangilia Wenyewe?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Vuvuzela ni vitarumbeta vilivyobuniwa Afrika ya kusini wakati wa mashindano ya FIFA world cup 2010 kwa ajili ya mashabiki kutumia wakati wa kushangilia mchezo. Baada ya hapo vikasambaa duniani kwa haraka sana na mashambiki wa nchi mbamimbali wakaanza kuvitumia kwenye kushangilia timu zao.

Hata hivyo kelele zitokanazo na upulizaji wa vuvuzela zilishindwa kuvumilika na kusababisha zipigwe marufuku sehemu mbalimbali za dunia. FIFA ilipiga marufuku upulizaji wa vuvuzela kwenye mashindano ya world cup mwaka 2014 huko Brazili, na mpaka leo vuvuzela haziruhisiwi katika mashindano ya mpira sehemu nyingiu sana duniani.

Nimekuwa naziona vuvuzela zikitumiwa na mashabiki kwenye mashindano mpira Tanzania, kwa nini vuvuzela hazijapigwa marufuku Tanzania?

[QUOTE="Hammy36, post: 9088, member: 617"] Vuvuzela ni vitarumbeta vilivyobuniwa Afrika ya kusini wakati wa mashindano ya FIFA world cup 2010 kwa ajili ya mashabiki kutumia wakati wa kushangilia mchezo. Baada ya hapo vikasambaa duniani kwa haraka sana na mashambiki wa nchi mbamimbali wakaanza kuvitumia kwenye kushangilia timu zao. Hata hivyo kelele zitokanazo na upulizaji wa vuvuzela zilishindwa kuvumilika na kusababisha zipigwe marufuku sehemu mbalimbali za dunia. FIFA ilipiga marufuku upulizaji wa vuvuzela kwenye mashindano ya world cup mwaka 2014 huko Brazili, na mpaka leo vuvuzela haziruhisiwi katika mashindano ya mpira sehemu nyingiu sana duniani. Nimekuwa naziona vuvuzela zikitumiwa na mashabiki kwenye mashindano mpira Tanzania, kwa nini vuvuzela hazijapigwa marufuku Tanzania? [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Vuvuzela Zipigwe Marufuku Viwanjani Tanzania , Kwani Hatuwezi Kushangilia Wenyewe?
Top
Bottom