Wachambuzi watoa maoni yao kuhusu timu ya England

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
John Terry: “Kama ingekuwa juu yangu, ningemchagua Kane, Foden na Grealish kwenye safu ya ushambuliaji ya England. Nina uhakika tutasonga mbele bila shaka.”

Gary Neville: “Sina tatizo na Saka na Sterling lakini Foden haguswi, ni kipaji cha wakati wake.”

John Terry: “Kuna mashambulizi mengi dhidi ya Harry Maguire lakini anatakiwa kuonesha kiwango kizuri.”

Gary Neville: “Harry Maguire atacheza dhidi ya Iran, lakini kama ingekuwa juu yangu, nisingemtumia.”

Gary Neville: "Matatizo ya Pickford kama mlinda mlango ni kama matatizo ya kipa wa Qatar katika mchezo wa leo (yani jana).”
D1445909-3680-4F10-9106-07F9E1A557C6.jpeg