Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
Wachambuzi watoa maoni yao kuhusu timu ya England
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

John Terry: “Kama ingekuwa juu yangu, ningemchagua Kane, Foden na Grealish kwenye safu ya ushambuliaji ya England. Nina uhakika tutasonga mbele bila shaka.”

Gary Neville: “Sina tatizo na Saka na Sterling lakini Foden haguswi, ni kipaji cha wakati wake.”

John Terry: “Kuna mashambulizi mengi dhidi ya Harry Maguire lakini anatakiwa kuonesha kiwango kizuri.”

Gary Neville: “Harry Maguire atacheza dhidi ya Iran, lakini kama ingekuwa juu yangu, nisingemtumia.”

Gary Neville: "Matatizo ya Pickford kama mlinda mlango ni kama matatizo ya kipa wa Qatar katika mchezo wa leo (yani jana).”

[ATTACH=full]587[/ATTACH]

[QUOTE="Brenda, post: 1818, member: 464"] John Terry: “Kama ingekuwa juu yangu, ningemchagua Kane, Foden na Grealish kwenye safu ya ushambuliaji ya England. Nina uhakika tutasonga mbele bila shaka.” Gary Neville: “Sina tatizo na Saka na Sterling lakini Foden haguswi, ni kipaji cha wakati wake.” John Terry: “Kuna mashambulizi mengi dhidi ya Harry Maguire lakini anatakiwa kuonesha kiwango kizuri.” Gary Neville: “Harry Maguire atacheza dhidi ya Iran, lakini kama ingekuwa juu yangu, nisingemtumia.” Gary Neville: "Matatizo ya Pickford kama mlinda mlango ni kama matatizo ya kipa wa Qatar katika mchezo wa leo (yani jana).” [ATTACH type="full"]587[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
Wachambuzi watoa maoni yao kuhusu timu ya England
Top
Bottom