WACHEZA AVIATOR NI KITU GANI HUWEZI KUSAHAU KUHUSU MCHEZO WA AVIATOR

Ray

Mgeni
May 22, 2024
8
3
5
Nakumbuka niliweka shilingi elfu ishirini kubeti aviator kidogo kidogo ikaanz kupungua mpaka nilibaki na shilingi elfu mbili tuu📌
 

gaudence ngamira

Mpiga Chabo
Jun 7, 2024
3
0
0
Niliweka 2000.nikacheza mia 200 200 200 mpaka nikafaka 5600 nikaweka yote alafu likaja pointi kubwa pointi 150 nililipo fika 102 nikatoa pesa sh 582000