Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Wadau tusiisahau ligi ya wanawake ( Serengeti Lite Women’s Premier League)
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Wadau wengi hapa bongo wanapenda mpira wa miguu, wanafuatilia zaidi muenendo wa ligi kuu Tanzania bara hasa timu pendwa Simba na Yanga.

Lakini wasiwasi yangu kubwa ipo kwenye soka la wanawake ambalo linakuwa kwa kasi kubwa sana kutokana na ushindani kuzidi kuongezeka.

Hii inachangiwa na udhamini uliyowekwa na Serengeti Lite, licha ya kuwa hautoshi lakini pia Shirikisho la soka (TFF) linajitahidi kuibeba ligi hiyo.

Timu za wanawake kwa msimu huu zimejitahidi sana kushindana hasa zile zenye Ukwasi (Simba Queens, Yanga Princess, JKT Queens nk).

Lakini bado wadau wengi wamelipa kisogo soka la wanawake licha ya juhudi kubwa,naamini kuna watu hawajui ligi ya wanawake ina jumla ya timu ngapi wala nani anaongoza msimamo wa ligi na kwa alama ngapi.

Ni wakati sasa wa wadau na mashabiki kutoa SUPPORT yao, ili kuongeza motisha kwa vilabu na wadhamini kuwekeza huko.

Leo Simba Queens wamecheza dhidi ya Ceasiaa Queens na kuibuka na ushindi wa mabao 4-1, kwa ushindi huo wanasalia kileleni kwa alama 22 michezo 9.

[ATTACH=full]1216[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3321, member: 622"] Wadau wengi hapa bongo wanapenda mpira wa miguu, wanafuatilia zaidi muenendo wa ligi kuu Tanzania bara hasa timu pendwa Simba na Yanga. Lakini wasiwasi yangu kubwa ipo kwenye soka la wanawake ambalo linakuwa kwa kasi kubwa sana kutokana na ushindani kuzidi kuongezeka. Hii inachangiwa na udhamini uliyowekwa na Serengeti Lite, licha ya kuwa hautoshi lakini pia Shirikisho la soka (TFF) linajitahidi kuibeba ligi hiyo. Timu za wanawake kwa msimu huu zimejitahidi sana kushindana hasa zile zenye Ukwasi (Simba Queens, Yanga Princess, JKT Queens nk). Lakini bado wadau wengi wamelipa kisogo soka la wanawake licha ya juhudi kubwa,naamini kuna watu hawajui ligi ya wanawake ina jumla ya timu ngapi wala nani anaongoza msimamo wa ligi na kwa alama ngapi. Ni wakati sasa wa wadau na mashabiki kutoa SUPPORT yao, ili kuongeza motisha kwa vilabu na wadhamini kuwekeza huko. Leo Simba Queens wamecheza dhidi ya Ceasiaa Queens na kuibuka na ushindi wa mabao 4-1, kwa ushindi huo wanasalia kileleni kwa alama 22 michezo 9. [ATTACH type="full"]1216[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Wadau tusiisahau ligi ya wanawake ( Serengeti Lite Women’s Premier League)
Top
Bottom