Wakati wa mechi za mwisho za laliga before world cup break lewandowsk alioneshwa red card,
Ila nashangaa mechi ya juzi amecheza wakati hajaitumikia adhabu yake, hii kisheria imekaaje ?