Wahuni wanakwambia wachezaji et watarud tu Form

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Wahuni wanakwambia wa hezaj et watarud tu FormπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wakati tunasubiri kurud Form kwa wachezaj tusisahau....wachezaj kibaooo wametutemea nje kuwasajili kisa hatupo Uefa...tusisahau Arsenal,city,liver,chelsea,tott wanapigania top 4 kama ss af kuna Roho mbaya Newcastle,Aston villa,Wolves,west ham ambao hata tukikutana nao tunabana nyanya wao wanataka tu waione Europa.

Twende sokoni🧠 Tukalangue wachezaji⚽