Wait kwa nini Gavi ana nambari 30? Nilidhani amebadilisha

Feb 7, 2023
61
36
5
Namba 6 anatumia kwenye ligi coz alisajiliwa hivi karibuni ndani ya kikosi, but huku kwenye euro anatumia ile aliyokuwa anatumia before kama unakumbuka scenario ya chama na Sakho Simba,Sakho alikuwa anavaa namba 17 akiwa kimataifa lkn akirud ligi kuu anavaa 10,Chama anabaki na 17. So hii ni kutoka na ulivyopeleka majina yako mwanzo
 
  • Like
Reactions: McRay