Walid Regragui Hatimaye Afunguka:
"Wanahabari wa Ulaya hawapendi timu za Afrika zikicheza kama timu za Ulaya kabisa. Miaka iliyopita tumeona timu za Afrika zikicheza kwa ajili ya kufurahisha mashabiki lakini hazikufanikiwa. Hizo siku sasa zimeisha.
Tuna malengo na kiu. Tunajiamini tuna uwezo wa kuandika upya vitabu vya historia ya soka. Tunataka Afrika iwe kileleni mwa Dunia."