Walid Regragui Kocha wa timu ya taifa ya Morocco

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
- Walid Regragui Kocha wa timu ya taifa ya Morocco:

🗣️ "Tumekuja kubadilisha fikra za bara letu. Ikiwa tunafurahi kuwa nusu fainali, mimi sijafurahia.
Nataka kucheza fainali."

alisema kocha wa Morocco katika mkutano na waandishi wa habari Zanzibari!

821987C6-2F44-47AD-B14A-B907022F90D3.jpeg